Ushimen: Leo nilivyo piga show ya kibabe

Mbona ugari kama mbichi vile au macho yangu?[emoji41][emoji41][emoji13]
Sifa tele zimuendee Bi mkubwa kwa kitendo chake cha kunilazimusha sikuzile kupika, tena kwa kutumia kuni na juani...
 
Mimi huingia jikoni hata akiwepo wife. Zikinipanda kichwani tu
Well done brother....
Na hakika hii ni moja kati ya namna nyingi sana za kuwafanya hawa viumbe wajiskie furaha sana haki....
 
Nimekuja mbio nikidhani show show, kumbe ugali wa sembe, sasa kiugali kidogo iko mwanaume unajisifu umekula
 
Kwa Muonekano wa hiyo mboga kweli umefundishwa kupika na unajua kupika. Big up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…