Ushimen: Leo nilivyo piga show ya kibabe

Nilivyosoma "nilivyopiga show ya kibabe" nikashtuka nikajua mambo ya Zero IQ.

Hongera mkuu umejitahidi sana ila nina mashaka kama hilo tembere umeweza kulichambua. Itakuwa umepika na kamba zake[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema wanaume ni wasafi sana kwenye kupika japo sio wote.
Zero IQ nahisi atakua mwanafunzi wa darasa la sita hua anaiba simu ya beki 3 wao then anaingia jf mara moja moja mana mada zake zimejaa mirungi, tumbaku na bangi kwa wingi
 
................[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Babe.....
Mbona uliniaga kwamba unalala...!!??
Bado nipo babe, halafu huu uzi naona hauko sawa ulichoandika kwenye content na kilichopo kichwani ni tofauti...si wajua mimi mtaalamu wa kuunganisha dots[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Naona watu wameamua kujichumia dhambi kwa mawazo yao tu babe....[emoji28]
Wala usiwe na shaka na mimi...teh
 
Mie nikija kwako sili chakula kilichosontwa!
Yaani unapika huku dudu limesimama kama tochi ya mmasai huku linasonta chakula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huo ndio urijali chief.....[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom