Ushimen: Leo nilivyo piga show ya kibabe

Daah! !!! Sio kwa mbio hizi nilizo Kuja nazo. .mkuu umeniweza. ..

Sasa hiyo Pete uliyo vaa na yule manzi ambaye ni member mwenzetu humu. .uliye mueleza kuwa haujaoa '-Itakuwaje? ?

Au utamuambia kuwa upo location unafanya movie
 
Pole sana chief, skunyingine chunga usije vunjika mkuu kwa mbio kama leo...[emoji28][emoji28]

Bidada nilisha mwambia asiogope pete chief, huo ni urembo tu...teh
 
Back
Top Bottom