Ushindani wa vigogo wawili - Mwandosya 2 Lowasa 0

I like this thread and where we are going. Tusiuziwe " mlio wa buzi kwenye gunia". Tuanzie hapa kuuliza maswali haya baadaye wananchi watatuunga mkono. Kama JF ni great thinkers, tuache kuambiwa fulani ni kiongozi mzuri, anafaa, ana mastashahada mengi, sawa lakini amefanya nini kupeleka nchi hii mbele.
 
pia
- Wakuu wa mikoa walioshindwa kusimamia ujenzi wa shule aliwaita na kuwahoji.
- Alianzisha utaratibu wa kutumia njia tatu ili kujaribu kupunguza foleni ya magari ya asubuhi. Ilishindikana but atleast someone did something.
 
Kama ni hivyo hafai kabisaaaaaa!
maana pia akiwa Mawasiliano na uchukuzi, ilisikika kwamba alietuletea mkurugenzi mpya wa tume ya mawasiliano baada ya aliyekuwepo kuondolewa kwa visa. Eti alimnyima hawala yake ticket ya kwenda Ulopu
 
mwandosya aliiba hela nyingi sana akiwa mkurugenzi wa aicc
mwandosya aliiba viwanja vingi na kuviuza kwa wahindi akiwa wizara ya ardhi
mwandosya ameliingizia taifa hasara sana kutokana na ulafi wake wa tanesco
mwandosya amewatuma wajumbe wa nec wamshambulie sita kwa ajili anamuandama kuwa yeye ni fisadi
 
hizi ni shutuma za uongo kabisa, tena uongo mkubwa. Ni kweli kwamba Prof. Mwandosya anaudhaifu kama binadamu lakini siyo hizi shutma zako zisizo na msingi.

Kwa mfano Mwandosya hana haja ya kumzonga Sitta, wanaomzonga Sitta ni mafisadi unaowaficha hapa akina RA, EL et al. Ni lini Mwandosya alikuwa Waziri wa Ardhi? Kwa taarifa yako Mwandosya hajapitia uliyoyaandika ktk hiyo CV yako. au unamchanganya na mtu mwingine?

CV ya Mwandosya hii hapa

sorry if my comments has cause any upset
fikiria kidogo
nani alikuwa mkurugenzi wa aicc, waziri wa ardhi, kaingiza tanesco mkenge na kampuni ya kufufua umeme na anamshambulia sita
 
sorry if my comments has cause any upset
fikiria kidogo
nani alikuwa mkurugenzi wa aicc, waziri wa ardhi, kaingiza tanesco mkenge na kampuni ya kufufua umeme na anamshambulia sita

True dude, your comments are bad lies. CV ya Mwandosya nimeiweka hapo juu.
 
HINT:
Mwandosya ni rafiki mkubwa wa Lowassa

Mwandosya ni rafiki mkubwa wa Mkapa

.......what does that tell you
 
hehehe ... kwa wale ambao hawakupata sarcasm hii, you just substitute Mwandosya with LOWASSA.
 
Lowasa = Mtandao
Mwandosya X= Mtandao

hence: Mwandosya can't substitute Lowasa.
 
Lowasa = Mtandao
Mwandosya X= Mtandao

hence: Mwandosya can't substitute Lowasa.

Hukunipata ndugu yangu. Mwandosya hajawahi kuwa Mkurugenzi wa AICC, Waziri wa Ardhi n.k. Nafasi hizo alishika Lowassa. Wasifu wa Mwandosya umewekwa kwenye post yangu ya awali, au nenda hapa
 
Hukunipata ndugu yangu. Mwandosya hajawahi kuwa Mkurugenzi wa AICC, Waziri wa Ardhi n.k. Nafasi hizo alishika Lowassa. Wasifu wa Mwandosya umewekwa kwenye post yangu ya awali, au nenda hapa

sawa mkuu lakini maneno kama haya hapa chini yanaleta maana tofauti sana na sanaa mlioitumia (wewe kwa kum-support Semilong) kwamba substitute Mwandosya by Lowasa. Maana inayoelewaka zaidi ni kumchafua Mwandosya. Ona akina Ogah wame-support uongo huo.

Mwandosya is a good academic but not a good politician!! He has failed to build and consolidate his base unilike fisadi Lowassa who has people who can die for him!!
 
Hah ha ha ha replace Mwandosya with Lowassa and add:

Lowassa sold church plot at Mbezi Lutheran church to Imalaseko Mbezi etc
 
Niliandika kitu ninachokifahamu, na si kusimuliwa au kusikia.....sijui ni wapi nime-support uongo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…