Ushindi dhidi ya Waarabu na Ushindi kwa Galaxy upi una thamani kubwa?

Ushindi dhidi ya Waarabu na Ushindi kwa Galaxy upi una thamani kubwa?

Aisee!.

Simba imeingia kikanuni sawa? Yanga je?

Yanga na CR Belouzidad zote zina points sawa, 8 kila mmoja. Ila kwa sababu ya kanuni ya H2H basi Yanga wakapeta.

Unasemaje Simba kaingia kikanuni huku ukiacha kuitaja Simba?

Turudi kwenye swali lako la msingi;
Ushindi wa Simba ni wa thamani kubwa zaidi ya ule wa Yanga.

Kwanza, kwa sababu ushindi wa Simba ni mkubwa zaidi ya ushindi wa Yanga. Simba ikimbutua mtu 6 nunge na Yanga akifunga 4 bila. Simba ikiwa na ziada ya magoli mawili.

Pili, Simba imepata fedha nyingi zaidi kutoka serikalini. Ikijimegea kitita cha Million 30 huku Yanga ikiambulia 20. Simba ikiwa na ziada ya Million 10 zaidi.

Tatu, Simba iliingiza mashabiki wengi zaidi kuliko ambavyo Yanga imeingiza. Na kwa vyovyote vile mapato ya mechi, Simba yupo mbele zaidi ya Yanga.
Usijitape, umecheza na wastaafu wa TAZARA.
Wachezaji wanavitambi kama JB!
FB_IMG_1709471930317.jpg
 
Salaam Wakuu,

Tukiwa tunaendelea kusherekea tukio la Simba kuingia robo fainali kwa mbinde (kikanuni) baada ya kulingana points na Wydad.

Kimahesabu, Simba juzi mechi dhidi ya timu dhaifu TRA kwenye Azam confederation cup walishinda 6-0. na Kwa galaxy Simba wameshinda 6-0, ila Kwa Yanga Simba alikandwa 5-1. Hapa uki cross multiplication utagundua TRA Simba na Galaxy ni timu za daraja moja (very poor) kwa Yanga.

Je, ushindi wa Yanga dhidi ya Mwarabu (CR Belouzidad) wa 4- 0 na ushindi wa Simba vs Mwafrika (Jwaneng Galaxy) wa 6-0 ni ushindi upi una thamani (value) kubwa?

View attachment 2922802

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Akili ndogo hii
 
Ukitaka kujua ushindi wa dhamani, acha kuangalia, uafrika au uarabu, angalia cheo cha timu Uliyoifunga CAF.
Hapo utaona ushindi wa dhamani.
 
CRB mwaka 2001 walipigwa na Asec Memosa 7- 0

Asec 7- 0 Belouzidad, pia league ya Algeria siyo nzuri hata kidogo, Algeria hawana klabu ya maana kama ilivyo Egypt, Morroco, Tunisia, Algeria ni kama Libya kwa upande wa vilabu. Watu wanachanganya kuona timu ya taifa inafanya vizuri, wenye wachezaji wa timu ya taifa 6a Algeria ni foreigners waliozaliwa Upya na kulia Ulaya ila wana asili ya Algeria
You nailed mkuu, yaani UTOPOLO kukutana na waarabu tu wanajua wamecheza na Ahly, Hopeless kabisa.
 
Tatizo Lenu watu wa Simba uwa amkubali ukweli na ndio maana mtaendelea kudumaa mpaka kiama, mnapambana kujilinganisha ubora wa timu yenu na yanga but kwa sasa current form yanga kawaacha mbali sana Yani msiwe vichwa vigumu wakati timu akuna pale!
Timu yenu ndo imefungwa magoli mengi, ndo yenye points kidogo kuliko timu yeyote robo fainali, utasema kundi lilikua gumu simba iliwahi kuongoza kundi ndani ikiwemo Al ahly na As vita, tangu mwaka 1998 ndo leo unaingia makundi simba ni mara 4 tena mfululizo anayetakiwa kujinganisha na mwenzake nani hapo??
 
Nye ni wajinga na wapumbavu,kila mwaka timu mnayokutana nayo lazima mseme ni timu ngumu,hii ni club bingwa kwani uliingia kinyume nyume bila kujua kuna timu ni ngumu?hivi visingizio vyenu ni vya kiwehu kila mwaka mnakuja nayo
Halafu malalamiko wanakua nayo wanawake yafaa waitwe madem fc!!!
 
Halafu malalamiko wanakua nayo wanawake yafaa waitwe madem fc!!!
Sasa mkuu haya makundi ni draw inachezwa,halafu mtu anakuambia kundi letu ngumu,timu akicheza nayo ni bora akicheza mwingine wanasema imeshuka kiwango.

Simba AFL ilicheza na hiyo Al Ahly tukatoa draw Misri na huku wakatuzidi magoli mwenye magoli mengi ugenini ingawa ni draw, sasa wao wamedraw hapa na kupigwa Misri halafu utadhani sisi hatukucheza na hiyo Al Ahly wakati hata tushawahi kuongoza kundi mbele ya huyo Al Ahly.

Sasa wamekuja eti TFF inashirikiana na wacheza draw tukutane na Petro Luanda, sijui why wasijiandae kisaikolojia kwa yeyote wanayekutana naye
 
CRB mwaka 2001 walipigwa na Asec Memosa 7- 0

Asec 7- 0 Belouzidad, pia league ya Algeria siyo nzuri hata kidogo, Algeria hawana klabu ya maana kama ilivyo Egypt, Morroco, Tunisia, Algeria ni kama Libya kwa upande wa vilabu. Watu wanachanganya kuona timu ya taifa inafanya vizuri, wenye wachezaji wa timu ya taifa 6a Algeria ni foreigners waliozaliwa Upya na kulia Ulaya ila wana asili ya Algeria
Hii ni Moja ya fact watu hawaioni au hawataki kuiona. Nadhani Wa_Algeria wenyewe pia wameridhika na ligi yao na hawaipi umuhimu huo michuano ya vilabu barani Africa.
 
Taja timu ya algeria iliyowahi kuchukua kombe lolote la afrika kabla hawajambandua yanga kwenye shirikisho msimu uliopita
Ngoja nipitie comments nionea kama alijaribu hata kujibu
 
amedrop vipi wakati ana point 9 na nyie mna point 8?Timu yenu ndio imeingia robo fainali kwa point chache zaidi,kinyonge sana
Timu yangu imeingia na point 9, namshangaa huyo anayesema kundi lao ngumu ya Simba ni famba
 
Tatizo Lenu watu wa Simba uwa amkubali ukweli na ndio maana mtaendelea kudumaa mpaka kiama, mnapambana kujilinganisha ubora wa timu yenu na yanga but kwa sasa current form yanga kawaacha mbali sana Yani msiwe vichwa vigumu wakati timu akuna pale!
Tangu ulipozimia kwa ushindi wa goli 4.
Umezinduka akili haipo sawa. Malizia dawa ndugu
Ushindi wa goli 6, ingekuwa Yanga. Ally Kamwe angekufa uwanjawani kwa furaha kwasababu ushindi kwao ni vitu vigeni.
Pole kwa kuzimia😁😁😁😁
 
Hazikutoshiii wee, na ndo maana ukapigwa Ban.
Pumbaavuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kubishana na mtu aliyezimia uwanjani.
Yanga ushindi kwao ni vitu vigeni ndiyo maana walizimia. Ushindi wa goli 6, ingekuwa Yanga. Ally Kamwe angekufa uwanjani kwa furaha😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom