Ushindi dhidi ya Waarabu na Ushindi kwa Galaxy upi una thamani kubwa?

Ushindi dhidi ya Waarabu na Ushindi kwa Galaxy upi una thamani kubwa?

Pamoja na kusema Simba mbovu ila tupo nao Robo fainali,sasa ubovu uko wapi na ubora wao ni upi hasa?kwenye kundi lao anaongoza al ahly point 12, wao wana point 8, sisi wa pili kundi letu tuna point 9, na tuna magoli mengi ya kufunga,tumeruhusu mawili tu,wao wameruhusu 6, halafu mtu anakuambia Simba mbovu
Ushamba wa soka unawasumbua plus kulazimisha Timu yao ionekane kubwa kwenye hii michuano wakati bado ni wachanga sana
 
Ushamba wa soka unawasumbua plus kulazimisha Timu yao ionekane kubwa kwenye hii michuano wakati bado ni wachanga sana
Mi najua Simba huwa wakikutana na timu yoyote hawalalamiki,angalia Wydad, hata mashabiki wa mamelodi wanafurahi wydad kutolewa maana wanasema ni timu wanayoogopa kuliko Al Ahly,Simba hatulalamiki kukutana na timu yoyote, subiri draw,wakikutana na timu yoyote hapo hata Asec wanayosema ni mbovu wataanza kuisifia tena ni timu ngumu
 
Tatizo Lenu watu wa Simba uwa amkubali ukweli na ndio maana mtaendelea kudumaa mpaka kiama, mnapambana kujilinganisha ubora wa timu yenu na yanga but kwa sasa current form yanga kawaacha mbali sana Yani msiwe vichwa vigumu wakati timu akuna pale!
Jamaa kakumbusha hapo "Al Ahly karibia akupige nje ndani" na huyo huyo katoa sare na Simba home and away.
 
Hakuna mkuu....ila kuua ni kuua ...japo wengine wanapiga bomb mochwari [emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nadhani cha muhimu ni 3 points walizotaka wamepata. Hayo mengine ni ushabiki maandazi tu. Yanga tujikite kwenye matches zetu na mambo yetu. Walitaka 3 points wamepata. Jwanang jana walizidiwa walibadilishiwa mchezo. Walijidanganya sana before. Simba ilipania.
 
Maumivu yanakupata Ukiwa Wapi na Mkoa Gani 🤣🤣🤣
Ngoja niweke Record Sawa Kidogo..

Mpaka kumaliza MAKUNDI HAYA NDYO MATKEO..

Simba Ana Point 9
Utopolo Mna point 8

Haya twende kwenye magoli

Simba magoli 9
Utopolo mna magoli 9

Goal concede

Simba 2

Utopolo 6

Game lost

Simba 1

Utopolo 2

Na kuhusu Kuifunga Simba goal Tano sisi Tumewachapa sana hizo kwahyo kwetu ni kawaida
DF44n0dXcAA_OZl.jpg

Na kuhusu Kumaliza huku Tunaongoza kundi tumeshafanya sana hilo swala mbele al ahly..
Mbona mnasahau sana Mapema
20240303_085651.jpg
 
Al ahly ni level ya juu mkuu

Hata mwaka Jana Al ahly alivuka kibahati.....lakini ndiye aliyechuka ndoo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Una arguments kipuuzi sana,huwezi kuangalia jambo lazima uongee kishabiki,timu ikikutana na Yanga ni bora,ikikutana na Simba imeshuka kiwango,huu ndo upuuzi na sipendi kujadiliana na mtu wa aina hii
 
Maumivu yanakupata Ukiwa Wapi na Mkoa Gani 🤣🤣🤣
Ngoja niweke Record Sawa Kidogo..

Mpaka kumaliza MAKUNDI HAYA NDYO MATKEO..

Simba Ana Point 9
Utopolo Mna point 8

Haya twende kwenye magoli

Simba magoli 9
Utopolo mna magoli 9

Goal concede

Simba 2

Utopolo 6

Game lost

Simba 1

Utopolo 2

Na kuhusu Kuifunga Simba goal Tano sisi Tumewachapa sana hizo kwahyo kwetu ni kawaida
View attachment 2922944

Na kuhusu Kumaliza huku Tunaongoza kundi tumeshafanya sana hilo swala mbele al ahly..
Mbona mnasahau sana Mapema View attachment 2922946
Upuuzi wa hao majamaa watakuambia kipindi hicho Al Ahly haikuwa na kiwango,sasa hivi wamekutana nayo ipo kwenye ubora,aisee hawa majamaa kujadiliana nao ni ngumu sana
 
Upuuzi wa hao majamaa watakuambia kipindi hicho Al Ahly haikuwa na kiwango,sasa hivi wamekutana nayo ipo kwenye ubora,aisee hawa majamaa kujadiliana nao ni ngumu sana
Muulize kwenye Ubora ila kashindwa kumfunga Nyumbani na Nje..
Ila sisi tulitoka Droo ya kumkung'uta..

Waambie wakuonyeshe matokeo kma hayA
Screenshot_20240302_145546_Chrome.jpg
Screenshot_20240302_145524_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom