Maumivu yanakupata Ukiwa Wapi na Mkoa Gani 🤣🤣🤣
Ngoja niweke Record Sawa Kidogo..
Mpaka kumaliza MAKUNDI HAYA NDYO MATKEO..
Simba Ana Point 9
Utopolo Mna point 8
Haya twende kwenye magoli
Simba magoli 9
Utopolo mna magoli 9
Goal concede
Simba 2
Utopolo 6
Game lost
Simba 1
Utopolo 2
Na kuhusu Kuifunga Simba goal Tano sisi Tumewachapa sana hizo kwahyo kwetu ni kawaida
View attachment 2922944
Na kuhusu Kumaliza huku Tunaongoza kundi tumeshafanya sana hilo swala mbele al ahly..
Mbona mnasahau sana Mapema
View attachment 2922946