Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Usijitape, umecheza na wastaafu wa TAZARA.Aisee!.
Simba imeingia kikanuni sawa? Yanga je?
Yanga na CR Belouzidad zote zina points sawa, 8 kila mmoja. Ila kwa sababu ya kanuni ya H2H basi Yanga wakapeta.
Unasemaje Simba kaingia kikanuni huku ukiacha kuitaja Simba?
Turudi kwenye swali lako la msingi;
Ushindi wa Simba ni wa thamani kubwa zaidi ya ule wa Yanga.
Kwanza, kwa sababu ushindi wa Simba ni mkubwa zaidi ya ushindi wa Yanga. Simba ikimbutua mtu 6 nunge na Yanga akifunga 4 bila. Simba ikiwa na ziada ya magoli mawili.
Pili, Simba imepata fedha nyingi zaidi kutoka serikalini. Ikijimegea kitita cha Million 30 huku Yanga ikiambulia 20. Simba ikiwa na ziada ya Million 10 zaidi.
Tatu, Simba iliingiza mashabiki wengi zaidi kuliko ambavyo Yanga imeingiza. Na kwa vyovyote vile mapato ya mechi, Simba yupo mbele zaidi ya Yanga.
Wachezaji wanavitambi kama JB!