Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Tukiwambia Israel yeye kashinda vita vya genocide sio vya kijeshi muwe mnatusikiliza. Hana alicho fanya Israel kwenye mambo ya jeshi, Hamas wanapiga Israel tena kwa kutumia Missiles na wanapiga Tela Aviv. Afu we muza nguruwe kule njombe unasema ushindi fake. Israel mwaka mzima anapigana na kikundi hawafiki hata wanamgambo 7000 na anatumia mpaa sila zilizo haramishwa duniani kashindwa wamaliza Hamas. Anasaidiwa na USA, UK, France, Canada, Germany, South Korea, Serbia India, Ethopia, Philippines, Italy, Spain, UAE, Saud Arabia, Jordan, Baharain, na Morocco
Kajidai kamua Yahya Sinwar na Mohamed Al Dheify jana Mohamad Al Dheifu katoa speech walijidai wamemua Abu Obaida pia katoa Speech 😄
Kule Lebanon wanasema week nzima tumemuwa Hashem Saif Al Din leo wanasema hatuna uhakika 😄
Oh oh oh Israel inaona kila kitu niliwambia wache wavae Pampers hawana lolote wanalo lijua