Ushindi kwa kwenda mbele; Dada Mkenya avunja rekodi ya dunia ya marathon. Lawrence Cherono naye ashinda

Ushindi kwa kwenda mbele; Dada Mkenya avunja rekodi ya dunia ya marathon. Lawrence Cherono naye ashinda

Kanya

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2019
Posts
259
Reaction score
220
Takriban saa 24 zikiwa zimepita tangu Eliud Kipchoge kuvunja rekodi ya kukimbia Marathon kwa muda wa chini ya saa mbili, Brigid Kosgei avunja rekodi ya muda wa kukimbia Marathon kwa Wanawake

Kosgei (25) ameweka rekodi ya kumaliza mbio za Marathon kwa kutumia saa 2, dakika 14 na sekunde 04 akivunja rekodi iliyokuwepo kwa dakika moja na sekunde 21, iliyokuwa ikishikiliwa na raia wa Uingereza, Paula Radcliffe (16)

Kosgei aliyevunja rekodi hiyo kwenye Chicago Marathon, mapema mwaka huu, aliweka rekodi ya kuwa Mwanariadha mdogo kushinda London Marathon akitumia muda wa 2:18:20

1FBE041E-9956-4997-A1F4-EF5012CD26D7.jpeg

********

Hardly 24 hours after World record holder Eliud Kipchoge broke the sub-two hour barrier in Vienna, another Kenyan, Brigid Kosgei followed suit after smashing the women's marathon record.

Kosgei clocked 2:14:04 to break the 16-year old record held by British Paula Radcliffe by a massive minute and 21 seconds.

Kosgei, 25, etched her name in history books for becoming the youngest marathoner to win the London Marathon early this year where she clocked 2:18:20.
Ethiopa's Ababel Yeshaneh was second in Chicago, six minutes 47 seconds behind.

Meanwhile, another Kenyan and reigning Boston Marathon champion Lawrence Cherono claimed the men's race, clocking 2:05:42.

Cherono, who was making his second appearance in a senior marathon, said the pacesetters withdrew barely 30 kilometres into the race but managed to soldier on.
 
Kenya's Lawrence Cherono (left) crosses the finishing line to win the Boston Marathon men's race on April 15, 2019 in the US. PHOTO | BRIAN FLUHARTY |

Kenya's Lawrence Cherono (left) crosses the finishing line to win the Boston Marathon men's race on April 15, 2019 in the US. PHOTO | BRIAN FLUHARTY |

Kenya's Lawrence Cherono is the new Chicago Marathon champion.

Cherono won the hotly contested race in a sprint finishing clocking two hours, 05 minutes and 42 seconds on Sunday.
more to follow..


 
Kenya's Brigid Kosgei crosses the finish line to win the elite women's race of the 2019 London Marathon in central London on April 28, 2019. PHOTO | BEN STANSALL |

Kenya's Brigid Kosgei crosses the finish line to win the elite women's race of the 2019 London Marathon in central London on April 28, 2019. PHOTO | BEN STANSALL | AFP

Kenya's Brigid Kosgei is the new women's world marathon record holder.
Kosgei achieved the feat when she clocked 2 hours, 14 minutes and 04 seconds during Sunday's Chicago Marathon.
Her feat saw here ease Britain's Paula Radcliffe time of 2:15:25 set on April 13, 2003 in London.
It is also a course record also erasing Radcliffe's time of 2:17:18 set in October 13, 2002.
more to follow...


 
Wololo yaye. Jana Mkenya amekimbia marathon in less than 2 hours. Leo Mkenya amevunja rekodi ya Paula Radcliffe. Kenya hii ni moto wa kuotea mbali.
 
Now this is a proper world record, not that Kipchoge sub 2hrs soap opera.
 
Wololo yaye. Jana Mkenya amekimbia marathon in less than 2 hours. Leo Mkenya amevunja rekodi ya Paula Radcliffe. Kenya hii ni moto wa kuotea mbali.
Leo? Mbona habari inasoma April 2019? Tupo October 2019.

Wakenya vipi?
 
Rekodi ya dunia kwenye mbio za marathon kwa kina dada imerudi Kenya baada ya miaka 16! Hapo awali ilikuwa inashikiliwa na mkenya Catherine Ndereba kabla ya muingereza Paula Radcliffe kuivunja. Hongera kwa Brigid. [emoji1139]+254[emoji1139] ipo juuu inawatizama hawa vibwengo kama mwewe. 😎
 
Unfortunately, nobody gives a rat's ass about your opinion.

You obviously care enough to reply to me.

It is not my opinion.

There is no athletics world body that recognizes Kipchoge's sub 2 hrs time as a marathon world record.

That is a fact.
 
You obviously care enough to reply to me.
It is not my opinion.
There is no athletics world body that recognizes Kipchoge's sub 2 hrs time as a marathon world record.That is a fact.
Ok.
 
Leo? Mbona habari inasoma April 2019? Tupo October 2019.

Wakenya vipi?

Shikamoo bibi, utakua bado una matongo kwenye macho baada ya kuamka, kanawe kisha uje tukupe taarifa vizuri.
 
Back
Top Bottom