Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna maendeleo gani mapya tokea uhuruNchi inahitaji maendeleo ya watu ...tumejichelewesha sana kusaka kiki za demokrasia kwani ndio upuuz waliotaka tuufikirie.
Hili jambo gumu sana kwa haya yanayoendelea sasa mkuu.Hivyo Tanzania tukiamua kufanya uchaguzi huru na wa haki, unaofusta mfumo wa uchaguzi wa kidemokrasia ya ukweli, tunaweza.
Hospitali zaidi ya 67Kuna maendeleo gani mapya tokea uhuru
Matola,Asalaam Aleykum mzee wangu, out of topic, hivi hamuwezi kumuomba Sheikh Alhad Musa awaombee masheikh wetu wa Uamsho watolewe gerezani? Watakaa huko mpaka lini? Hivi huyu sheikh Alhad kila siku yupo ikulu anashindwa kuwatetea masheikh wenzake waachiwe wakati mpaka wabakaji Babu seya wameachiwa?
Kwa hiyo hayo maendeleo ya vitu yanaletwa kwa kunajisi box la kura? Kuna uzi huku jukwaani unasema kama tunajenga miradi kwa pesa zetu za ndani iweje, deni la taifa lipande kwa 20t ndani ya miaka minne? Nenda huko maana sio mada ya kidemokrasia, praise team wenzako huko wanatukana tu maana hawana majibu. Mada hii tuachie tunaojadili demokrasia.
Demokrasia gani ili hali mwenyekiti kanyofowa kipengele cha ukomo na ukienda mahakamani unafukuzwa chama,toa boriti kwenye jicho lako kwanza!
Ni Kweli Sheria Zimewekwa Ili Zifuatwe Ila Ajabu Ni Kwamba Vyama vya Chadema na A.c.t Wametangaza Kujitoa Kwenye Huo Uchaguzi, Ila Bado Waziri Wa Tamisemi Analazimisha kubandika Majina Ya Wagombea Ambao Vyama Vyo Vimejitoa Kwenye Huo Uchaguzi.Ziliwekwa taratibu ili zifuatwe. Ukishindwa kiziguata, unaondolewa tu. Hata Bunge la Congress la Marekani sasa liko kwenye mchakato wa kutaka kimuondoa Rais Trump madarakani kwasababu amekiuka utaratibu. Simple!
Nilisema "too late" CHADEMA walipojitoa na nasema leo "too late" kumshauri Rais aruhusu wagombea waloenguliwa. Kwa CHADEMA ilikuwa too late kwa sababu baadhi ya wagombea walishapitishwa na hivyo kwenye karatasi ya kupigia kura watakuwemo na hii ndo mbinu ya chama tawala. Ni too late kwa Rais kwa sababu vyama vimeshatangaza kususia uchaguzi. Maji yakishamwagika hayazoleki. Kwa haya mengine naunga mkono hoja.hivyo mamlaka zinazosimamia uchaguzi huu, waruhusuni wagombea wote waliopitishwa na vyama vyao wapite tuu bila kujalisha kama wanekidhi sifa na vigezo, ili tuu kuruhusu ushindani wa haki, ushindani wa uwazi na mshindi apatikane kihalali katika uchaguzi huru na wa haki
Pascal kumradhi kidogo! nachepuka nimgutie Matola neno. Matola nenda kule ukumbini ukalianzishe, nataka kumshika Mohamed Said 'shikio'Matola,
Nadhani hili angelifanya Mufti kwa kuwa yeye ndiye anatambulika na serikali kuwa kiongozi wa Waislam wa Tanzania Bara.
Kwanza hao wagombea, maeneo mengi ambayo tumeweza kupata taarifa zao, wamepokea uamuzi wa vyama vyao wa kutoshiriki uchaguzi najisi kwa mikono miwili.Kama wana vigezo vyote majina yao yatabandikwa. Ni utaratibu na kanuni za uchaguzi. Wao hawafuati porojo za vyama kujitoa ingawaje wenye majina yatakayobandikwa wana hiari ya kufanya kampeni au la. Kimbembe kitakuwa endapo watashinda, Chadema itawatambua? Itawafukuza? Tunasubiria!
Kama waliondolewa kwa Haki Sasa Kinacho Mfanya Jaffo Alie Lie Nini?.Ulitaka waliokosea kanuni na taratibu wasiondolewe kisa ni wapinzani?
Mkuu kuna mambo mawili. Mosi, muda wa kujitoa. Je, walijitoa kwa wakati? Pili, mgombea kama mgombea amewasilisha barua ya kujitoa? Kama hajawasilisha barua hiyo, unamuondoaje? Kumbuka kuna kanuni na taratibu za kufuata kuhusu hili. Na hili mkuu ndilo wanalokosea Chadema. Wanafikiri kila kitu kinafanyika tu (atavism).Ni Kweli Sheria Zimewekwa Ili Zifuatwe Ila Ajabu Ni Kwamba Vyama vya Chadema na A.c.t Wametangaza Kujitoa Kwenye Huo Uchaguzi, Ila Bado Waziri Wa Tamisemi Analazimisha kubandika Majina Ya Wagombea Ambao Vyama Vyo Vimejitoa Kwenye Huo Uchaguzi.
Swali:
Ikiwa Chama Kimejitoa kwenye Uchaguzi, Hao Wagombea Ambao Bwana Jaffo Anadai Bado Majina Yao Yatakuwepo Kwenye Karatasi Ya Kupigia Kura Bila Kujari Kama Vyama Vyao Vimejitoa Watasimama Kama Wagombea Wa Chama Gani?.
Au Siku Hizi Tanzania Tuna Wagombea Binafsi?.
Jaffo alie kwa lipi??wewe susa sie twalaKama waliondolewa kwa Haki Sasa Kinacho Mfanya Jaffo Alie Lie Nini?.
Jitangazeni Tu Kua Mmeshinda Kwa Kishindo Ili Maisha Yaendelee.
Kama wagombea wameandika barua za kujitoa "kwa wakati" nitashangaa kama majina yatarudishwa kama wagombea. Lakini, Mkuu Bams ebu niambie, kanuni zinasemaje kuhusu muda wa kujitoa?Kwanza hao wagombea, maeneo mengi ambayo tumeweza kupata taarifa zao, wamepokea uamuzi wa vyama vyao wa kutoshiriki uchaguzi najisi kwa mikono miwili.
Maeneo mbalimba vyama vimewaandikia na wagombea wamekwishawaandikia wasimamizi wa uchaguzi uamuzi wa kujiondoa.
Sasa Jafo huo upuuzi wa kubandika majina ya waliojiondoa sijui anautoa wapi!