Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi

Wanabodi,

Tangu kuanza kwa pilika pilika za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, sijawahi kuzungumza lolote kuhusu uchaguzi huu kutokana na kuwa bize na shughuli za kitaifa, kwanza ni Wiki ya Msaada wa Kisheria iliyofanyika kitaifa mjini Bariadi Mkoani Simiyu na kufuatiwa na Wiki ya Azaki iliyomalizika jana Jijini Dodoma, hivyo leo ndio nimepata fursa kuendelea na zile makala zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa".

Ushindi mnono na mtamu wa raha ni ule ushindi unaotokana na ushindani halali wa haki unaopatikana kwa kuendeshwa kidemokrasia kwenye uwanja ulio sawa, level playing ground na sio uwanja tange, wala sio ushindi wa mezani!
Hivyo Tanzania tukiamua kufanya uchaguzi huru na wa haki, unaofusta mfumo wa uchaguzi wa kidemokrasia ya ukweli, tunaweza. Mimi naamini kabisa kwa mambo makubwa na mazuri ya Rais Magufuli anayoyafanya, we have nothing to loose rais Magufuli akiruhusu demokrasia ikashamiri, akatoa haki sawa kwa vyama vyote kufanya siasa ikiwemo kuondoa zuio batili la mikutano ya siasa, bado rais Magufuli anaweza kuyaleta maendeleo yote aliyokusudia at the same time huku akiruhusu demokrasia nayo ikashamiri, ila ukweli utaendelea kubaki ni ukweli daima kwa katiba hii, Tume hii, sheria hii ya uchaguzi na kasi hili ya rais Magufuli, CCM bado itaendelea kutawala Tanzania milele.

Naomba nimalizie kwa ile kauli ya thread hii
"Ushindi Mtamu ni Ushindi Unaopatikana kwa Ushindani Wa Haki Kwenye Uchaguzi Huru na Wa Haki, Unaendeshwa na Tume Huru na Shirikishi ya Uchaguzi na Unaofanyika Kwenye Uwanja Sawa wa Ushindani wa Kisiasa, Sio Ushindi wa Mezani!. Mheshimiwa Rais, Dr. John Pombe Magufuli, aka.JPM, Kasi Yako ya Maendeleo ya Tanzania Unaoifanya, Utailetea CCM Ushindi Kishindo Katika Uchaguzi Wowote, Tunakuomba Please Please Please, Ruhusu Tuu Ushindani wa Haki, Wazi na Usawa Kwa Vyama Vyote,
Utabarikiwa Zaidi na Zaidi, na Tanzania Tutabarikiwa.
Paskali
Numbers don't lie
Dkt. Magufuli ameshinda kwa kupata kura 12,516,252 (sawa na 84.4% ya kura halali)

Tume imesema walikuwa na jumla ya watu 29,754,699 waliojiandikisha kupiga kura, na waliopiga kura walikuwa 15,091,950. Kura halali zilikuwa 14,830,195
View attachment 1616177
Paskali
 
JPM ameshashinda...

Ni bora wapinzani wakajipanga upya kuidai tume huru ya uchaguzi kama ile ya IECB ya Kenya then 2025 wajaribu Tena...

Hekima na busara zitawale kipindi hiki kigumu kwao....

Kila la heri JPM Katika hii miaka 5 ijayo ambayo tunaamini UTALIPAISHA TAIFA LETU..
 
Paskali, Paskali, Paskali.
Umepatwa na nini?
Ni Mtanzania gani mwenye akili timamu ambaye anasema kuwa tarehe 28 Oktoba 2020 kulikuwa na Uchaguzi Mkuu?
Ni Mtanzania gani mwenye akili timamu ambaye anakubaliana na "matumizi ya bilioni 350 kwa kile kilichofanyika Oktoba 28'?
Ni Mtanzania gani mwenye akili timamu ambaye anakubaliana na alichokifanya Ndugai na Halima Mdee 'et al'?
Nimeona AG akinukuliwa na Gazeti la Uhuru juu ya haki za Halima Mdee na wenzake!
Mwanasheria Mkuu ambaye aliukunja mkia wake mithili ya mbwa mwoga wakati Tume ya Uchaguzi ikiinajisi Katiba ya Nchi kwa kuhakikisha kuwa Mawakala wa Vyama vya Watu hawaingii kwenye Vituo vya Kupigia Kura.
Ni Mtanzania gani mwenye akili timamu, mwenye uzalendo na nchi yake, mwenye uchungu na masikini wa Nchi hii ambaye anaweza kuunga mkono matumizi ya shs. bilioni 13.68 za mishahara ya Wabunge hao19 kuhalalisha ubatili wa tarehe 28 Oktoba 2020?
Nakumbuka 'novel' ya " Cry, the beloved Country".
Napata faraja nikijifunza kutoka kwenye Historia kuwa "daima, dhuluma itashindwa".
Mungu Ibariki Tanzania
Mkuu fundimchundo , nimeguswa na bandiko lako hili, mimi ni realist, ma realists wote, hata kama hau support kilichofanyika, lakini when kumetokea kitu kilichotokea, and there is nothing anyone can do to change the situation, ma realists wote tunakubali matokeo, katika muktadha wa appreciating the situation and suggest the best way forward out of the situation.

Vyama vya siasa sio mali ya watu, viongozi, ni mali ya umma, hivyo maamuzi yoyote yatafanywa kwa kutanguliza maslahi ya umma.
Kwenye hili, maslahi ya umma ni kwa wapinzani hao wachache waliopata fursa ya kuingia Bungeni, waingie waka salvage what is left of opposition in Tanzania.

Nimekuleta hapa ili kukujulisha, kuwa tulishauri pia the best way forward, ukitoa ushauri mzuri, hata kama haukufuatwa, wewe unakuwa umetimiza wajibu wako.

Mimi nimetimiza wajibu wangu.
Kama kosa langu ni kuukubali ukweli jinsi ile ulivyo, nalikubali kosa hili.

P
 
Wanabodi,

Nakuomba Rais Magufuli na Waziri Jafo, jifanyeni kama mnacheza na watoto, wafungulieni njia watoto wote washindane kwa haki, washiriki kwenye uchaguzi huu na wa haki kwa uhuru na kwa haki sawa kwa vyama vyote despite mapungufu walionayo ili hata uchaguzi Mkuu wa mwaka kesho, wakati Watanzania watakapo irejesha Tanzania kwenye mfumo wa Chama kimoja CCM, iwe ni Watanzania wenyewe ndio wameamua kuichagua CCM kwa haki kupitia uchaguzi huru na wa haki ulioendeshwa na Tume Huru na Shirikishi ya Uchaguzi ulioendeshwa kwenye uwanja sawa na tambarare wa ushindani, na sio CCM ishinde katika ule ushindani wa kugombea kisu cha makali kuwili, huku mshindani mmoja ameshika kwenye mpini na mshindani mwingine kwenye makali. Hivyo CCM ishinde kihalali kwa kufuatia kazi nzuri ya rais JPM na serikali yake na sio kwa sababu CCM ndio iliyokamata mpini!

Paskali
Uchaguzi ulikuwa wa haki na huru?

Umejibu hili?
Mkuu Kiranga, kwa vile wengi wanauzungumzia uchaguzi based on kilichotokea, mimi nimeanza kuuzungumzia zamani na matokeo ya uchaguzi wa 2020, niliishayajua tangu ile 2015 baada ya Jembe JPM, kuingia ulingoni.
Karibu pande hizi

Unafurahia na kubariki huu ubakaji wa demokrasia uliotokea 2020?
 
Wanabodi,
Hivyo Tanzania tukiamua kufanya uchaguzi huru na wa haki, unaofuata mfumo wa uchaguzi wa kidemokrasia ya ukweli, tunaweza. Mimi naamini kabisa kwa mambo makubwa na mazuri ya Rais Magufuli anayoyafanya, we have nothing to lose kama rais Magufuli akiruhusu demokrasia ikashamiri, akatoa haki sawa kwa vyama vyote kufanya siasa ikiwemo kuondoa zuio batili la mikutano ya siasa, bado rais Magufuli anaweza kuyaleta maendeleo yote aliyokusudia at the same time huku akiruhusu demokrasia nayo ikashamiri, ila ukweli utaendelea kubaki ni ukweli daima kwa katiba hii, Tume hii, sheria hii ya uchaguzi na kasi hili ya rais Magufuli, CCM bado itaendelea kutawala Tanzania milele.

Naomba nimalizie kwa ile kauli ya thread hii
"Ushindi Mtamu ni Ushindi Unaopatikana kwa Ushindani Wa Haki Kwenye Uchaguzi Huru na Wa Haki, Unaendeshwa na Tume Huru na Shirikishi ya Uchaguzi na Unaofanyika Kwenye Uwanja Sawa wa Ushindani wa Kisiasa, Sio Ushindi wa Mezani!. Mheshimiwa Rais, Dr. John Pombe Magufuli, aka.JPM, Kasi Yako ya Maendeleo ya Tanzania Unaoifanya, Utailetea CCM Ushindi Kishindo Katika Uchaguzi Wowote, Tunakuomba Please Please Please, Ruhusu Tuu Ushindani wa Haki, Wazi na Usawa Kwa Vyama Vyote,
Utabarikiwa Zaidi na Zaidi, na Tanzania Tutabarikiwa.

Paskali
Swali moja rahisi sana kwako Paskali. CHADEMA ikifa, Watanzania na taifa kwa ujumla tutapata hasara gani? Unaamini NI LAZIMA CHADEMA iendelee kuwepo (exist)?

Maelezo yote hayo marefu sana uliyotoa na ambayo umekuwa ukiyatoa zaidi ya mwaka kuhusu CHADEMA, yanadhihirisha kuwa kwa mazingira ya kisiasa tuliyo nayo Tanzania, HAIWEZEKANI tuwe na mfumo wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini ambao ni BONA FIDE GENUINE.

Halafu, VERY CURIOUSLY, siioni juhudi yako ya dhati kuwaasa wenye dhamana ya kutengeneza mazingira sahihi ya demokrasia ya vyama vingi Tanzania ili kuwezesha vyama kama CHADEMA kuwepo na kufanya shughuli zake kwa ufanisi. Hapo ungeeleweka badala ya kupania kwa makala kadhaa zilizojaa jazba nyingi kutaka CHADEMA IWEPO na ikubaliane na dola tu hata katika mazingira hatarishi kiasi gani!

WHAT’S YOUR REAL MOTIVE?
Mkuu Drifter, kwanza asante kwa mchango wako, very objective, kiukweli tangu nimepandisha uzi huu, wewe ndio mtu wa kwanza kunielewa, kwasababu, kiukweli kabisa, hii jf ya sasa, tuna watu wachache sana, wenye kuweza kusoma bandiko na kisha kujiuliza what is the motive behind.

Chama cha Mapinduzi ni chama cha ukweli na haki, kiliasisiwa na Mwalimu Nyerere, mpenda haki na mtenda haki. Baada ya Mwalimu, CCM ilipitia mageuzi na kuishiwa kuhodhiwa na wenye fedha, hivyo kuzalisha kada kubwa ya makada wa CCM ambao ni makada maslahi, na kwenye uchaguzi, wanakuwa wako tayari kutumia mbinu zozote kushinda uchaguzi. JPM alipoingia, amekuja kuibadili CCM kuirudisha ile CCM ya Nyerere. Sasa ndani ya makada wa CCM, kuna makada wa aina mbili, kuna "CCM Die Hard", hawa ndio wanaotaka kuhakikisha CCM inaupondaponda upinzani na kushinda kwa asilimia 99.9% kwa kutumia mbinu zozote.

Tupo sisi makada "Modern CCM" ambao kutokana na good track ya kazi nzuri ya JPM, CCM innashinda kwa mshindi mzuri safi na clear victory, kushinda kwa haki bila kufanya figisu figisu zozote.

Kwa vile Bunge letu ni Bunge la vyama vingi, mimi naamini kuna baadhi ya wana CCM very genuine, hakupenda kuona baadhi ya wapinzani wakishindwa akiwemo mtu kama Zitto!. Lakini kutokana na wapinzani kukataliwa na wananchi, ili Bunge lichangamke, zile kamati 2 za oversight committee, PAC na LAAC, lazima ziongozwe na wabunge wa upinzania ambao ni vichwa vya ukweli, kwenye hao wabunge wote sijaona watu wa kalibre hiyo ndio maana kila siku, tunamuomba Mwenyekiti wetu, JPM, katika zile nafasi zake 10, awateua wapinzani 4, Zitto, JJ Mnyika, Mbatia na kale kabinti Queen Sendiga.

Ili CCM itawale vizuri inahitaji Upinzani makini, ndio maana kila uchao, naibalasa Chadema humu na ACT Zanzibar, waache ujinga wa kususa. Ili kusasa kwa akili ni kususa kama kwa kususa huko utaachieve something, lakini kususa tuu for the sake of kususa, huku you won't achieve anything huu ni ujinga!.

Karibu tena.
P
 
Hizi post zako za nyuma ndyo zngekufanya upate teuzi. Ila ulivyoamua kuwa mnafiki hata haja ya kukupa teuzi haipo tena.

Unadhani Polepole alipata teuzi sababu ya kuongea pumba????
 
Wanabodi,

Mada kuu kuhusu makala ya leo ni hizi figisu figisu za uchaguzi serikali za mitaa zilizopelekea Chama kikuu cha upinzani kwa huku bara, Chadema, kujitoa kikifuatiwa na Chama cha ACT Wazalendo kwa hoja za kutotendewa haki. This is not good at all kwa mustakabali mwema wa taifa letu, kwasababu kama ni kweli hawakutendewa haki, machozi ya kilio cha haki husababisa a very bad karma kwa taifa letu, na ubaya wa karma sio tuu inaweza ku hit taifa letu kama taifa, lakini karma ina tabia ya ku hit kwa baadhi ya viongozi individuals if they have a hand kwenye yanayotokea.

Naomba nimalizie kwa ile kauli ya thread hii
"Ushindi Mtamu ni Ushindi Unaopatikana kwa Ushindani Wa Haki Kwenye Uchaguzi Huru na Wa Haki, Unaendeshwa na Tume Huru na Shirikishi ya Uchaguzi na Unaofanyika Kwenye Uwanja Sawa wa Ushindani wa Kisiasa, Sio Ushindi wa Mezani!. Mheshimiwa Rais, Dr. John Pombe Magufuli, aka.JPM, Kasi Yako ya Maendeleo ya Tanzania Unaoifanya, Utailetea CCM Ushindi Kishindo Katika Uchaguzi Wowote, Tunakuomba Please Please Please, Ruhusu Tuu Ushindani wa Haki, Wazi na Usawa Kwa Vyama Vyote,
Utabarikiwa Zaidi na Zaidi, na Tanzania Tutabarikiwa.

Nawatakia Jumapili Njema
Na mimi nawahi kanisani
Misa ya Kwanza pale kanisa langu la St. Peters

Paskali
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali
 
Wanabodi,

Tangu kuanza kwa pilika pilika za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, sijawahi kuzungumza lolote kuhusu uchaguzi huu kutokana na kuwa bize na shughuli za kitaifa, kwanza ni Wiki ya Msaada wa Kisheria iliyofanyika kitaifa mjini Bariadi Mkoani Simiyu na kufuatiwa na Wiki ya Azaki iliyomalizika jana Jijini Dodoma, hivyo leo ndio nimepata fursa kuendelea na zile makala zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa".

Mada kuu kuhusu makala ya leo ni hizi figisu figisu za uchaguzi serikali za mitaa zilizopelekea Chama kikuu cha upinzani kwa huku bara, Chadema, kujitoa kikifuatiwa na Chama cha ACT Wazalendo kwa hoja za kutotendewa haki. This is not good at all kwa mustakabali mwema wa taifa letu, kwasababu kama ni kweli hawakutendewa haki, machozi ya kilio cha haki husababisa a very bad karma kwa taifa letu, na ubaya wa karma sio tuu inaweza ku hit taifa letu kama taifa, lakini karma ina tabia ya ku hit kwa baadhi ya viongozi individuals if they have a hand kwenye yanayotokea.

Sitaki kuingia ndani kwenye technicalities zilizopelekea wagombea wa upinzani kuenguliwa, bali natoa wito kwa rais Magufuli aingilie kati hali hii au yeye mwenyewe kama rais wa JMT, au kupitia kwa msaidizi wake Waziri Jaffo wa Tamisemi, ayafumbie macho makosa yote madogo madogo ya wagombea wote wa vyama vyote walioenguliwa kwa sababu zozote, ziwe ni za kweli za halali au ni figisu, ayafute na watoe amnesty ya jumla kwa kila aliyegombea apitishwe tuu hivyo hivyo despite all the odds ili Tanzania tuingie kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu mwakani kwa ushindani wa haki, uwazi na usawa kwa vyama vyote kutendewa haki sawa, kwa demokrasia kuachwa kufuata mkondo wake, hivyo waliosusa wote kwa kuweka mpira kwapani warudi uwanjani kipute kipigwe.

Ushindi mnono na mtamu wa raha ni ule ushindi unaotokana na ushindani halali wa haki unaopatikana kwa kuendeshwa kidemokrasia kwenye uwanja ulio sawa, level playing ground na sio uwanja tange, wala sio ushindi wa mezani!

Kwa observation yangu, kwa kasi ya rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, JPM, kwa haya tuu aliyowafanyia Watanzania kwa miaka hii minne tuu tangu alipoingia madarakani, na mambo anayoendelea kuyafanya kila uchao, ni mambo mkubwa kuliko rais mwingine yoyote aliyewahi kufanya, ukimuondoa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliyetupatia uhuru na kutujengea umoja, usawa, upendo na mshikamano miongoni mwa Watanzania kama binadamu wote ni sawa kwa kuwa kitu kimoja, Taifa moja lenye umoja, lisilo na ubaguzi rangi, udini, ukabila, jinsia na hali, Magufuli na CCM inakwenda kushinda ushindi wa kishindo wa over 90%!, hivyo hakuna haja wala sababu za kutumia figisu figisu zozote!.

Kutokana na kasi ya rais Magufuli kutuletea maendeleo ya vitu vya kuonekanika, Midege, Reli ya SGR, Mabarabara nchi nzima, madaraja ya juu kwa juu, mradi wa umeme wa Stigler's, Tanzania ya viwanda, elimu bure, vituo vya afya, zahanati na mahospitali kila kona, etc, etc, just to mention but few, vinaipa CCM fursa ya ushindi wa kishindo cha wazi kabisa katika uchaguzi wowote nchini Tanzania kati ya sasa hadi 2025, hivyo mamlaka zinazosimamia uchaguzi huu, waruhusuni wagombea wote waliopitishwa na vyama vyao wapite tuu bila kujalisha kama wanekidhi sifa na vigezo, ili tuu kuruhusu ushindani wa haki, ushindani wa uwazi na Uchanguzi wa kidemokrasia huru na wa haki na mshindi apatikane kihalali, ki haki, ki demokrasia kupitia uchaguzi huru na wa haki.

Nakumbuka nilipokuwa Baba Kijana, nilikuwa nikicheza na watoto wangu michezo mbalimbali kama mashindano ya kukimbia, mnashindana kukimbia, ili kumjengea mtoto ari ya kushinda, wewe unakimbia mdogo mdogo ili usimshinde mtoto ukamvunja moyo, unamuacha mtoto akupite na akushinde na akiisha shinda, anafurahi kweli kweli kuwa amemshinda baba! Hivyo tukubali tukatae, kwa hali ya sasa ya siasa za nchi yetu Tanzania kwa hii kasi ya JPM, Magufuli ni game changer wa the political dynamics za siasa za nchi yetu, ambapo rais Magufuli akiendelea Kuala, CCM itakomba kila kata, kila jimbo!, hivyo ili Tanzania tuendelee kuwa ni nchi ya vyama vingi, kuna maeneo CCM inabidi tuu ijifanye kama baba anayecheza na watoto wake kwa kuwaachia tuu watoto washinde, vinginevyo uchaguz Mkuu wa mwakani, 2020, Tanzania tunarudi kuwa nchi ya chama kimoja!

Hivyo natoa wito kwa serikali ya CCM, chini ya Jemedari wake, JPM, kiukweli labisa, hata kabla ya uchaguzi, CCM tayari imeishashinda kwa ushindi wa kishindo sio tuu huu Uchanguzi wa Serikali za Mitaa, bali hadi Uchanguzi Mkuu ujao wa mwakani 2020 kutokana na sababu za ki political social dynamics ya Magufulification nilizoeleza lakini ili CCM iweze kuufurahia huo ushindi kwa furaha ya kweli na hivyo kusheherekea ushindi huo, lazima CCM ishinde kwenye ushindani wa kweli, ushindani wa haki na ushindani wa usawa na sio kupata ushindi kwa kufanya figisu ili washindani wako wasuse, watie moira kwapani na wewe upewe ushindi wa mezani. Ushindi wa hivi sio ushindi mtamu, wala hauleti raha ya kudumu kwasababu karma itaingilia kati!

Nakuomba Rais Magufuli na Waziri Jafo, jifanyeni kama mnacheza na watoto, wafungulieni njia watoto wote washindane kwa haki, washiriki kwenye uchaguzi huu na wa haki kwa uhuru na kwa haki sawa kwa vyama vyote despite mapungufu walionayo ili hata uchaguzi Mkuu wa mwaka kesho, wakati Watanzania watakapo irejesha Tanzania kwenye mfumo wa Chama kimoja CCM, iwe ni Watanzania wenyewe ndio wameamua kuichagua CCM kwa haki kupitia uchaguzi huru na wa haki ulioendeshwa na Tume Huru na Shirikishi ya Uchaguzi ulioendeshwa kwenye uwanja sawa na tambarare wa ushindani, na sio CCM ishinde katika ule ushindani wa kugombea kisu cha makali kuwili, huku mshindani mmoja ameshika kwenye mpini na mshindani mwingine kwenye makali. Hivyo CCM ishinde kihalali kwa kufuatia kazi nzuri ya rais JPM na serikali yake na sio kwa sababu CCM ndio iliyokamata mpini!

Tena kwa maoni yangu uchaguzi huu wa serikali za mitaa unaosimamiwa na TAMISEMI ndio uwe wa mwisho, tubadili sheria zetu za uchaguzi, uchaguzi zote zisimamiwe na sheria moja, chini ya Tume Huru na Shirikishi ya Uchaguzi, zuio la mikutano ya siasa liondolewe, wagombea huru waruhusiwe ili hata watu kama akina sisi tusio wanachama wa chama chochote, tuweze kushiriki kugombea, hivyo uchaguzi wa 2025 tuchague viongozi wa serikali za mtaa, madiwani, wabunge na rais kwa siku moja. Hoja kuwa zitakuwa kura nyingi haina mashiko. Kwenye uchaguzi Mkuu wa Zanzibar kila mpiga kura anapiga kura 5 kuchagua
  1. Diwani, Shehia
  2. Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi
  3. Mbunge wa Bunge la JMT
  4. Rais wa Zanzibar
  5. Rais wa JMT
Hivyo Tanzania tukiamua kufanya uchaguzi huru na wa haki, unaofusta mfumo wa uchaguzi wa kidemokrasia ya ukweli, tunaweza. Mimi naamini kabisa kwa mambo makubwa na mazuri ya Rais Magufuli anayoyafanya, we have nothing to loose rais Magufuli akiruhusu demokrasia ikashamiri, akatoa haki sawa kwa vyama vyote kufanya siasa ikiwemo kuondoa zuio batili la mikutano ya siasa, bado rais Magufuli anaweza kuyaleta maendeleo yote aliyokusudia at the same time huku akiruhusu demokrasia nayo ikashamiri, ila ukweli utaendelea kubaki ni ukweli daima kwa katiba hii, Tume hii, sheria hii ya uchaguzi na kasi hili ya rais Magufuli, CCM bado itaendelea kutawala Tanzania milele.

Naomba nimalizie kwa ile kauli ya thread hii
"Ushindi Mtamu ni Ushindi Unaopatikana kwa Ushindani Wa Haki Kwenye Uchaguzi Huru na Wa Haki, Unaendeshwa na Tume Huru na Shirikishi ya Uchaguzi na Unaofanyika Kwenye Uwanja Sawa wa Ushindani wa Kisiasa, Sio Ushindi wa Mezani!. Mheshimiwa Rais, Dr. John Pombe Magufuli, aka.JPM, Kasi Yako ya Maendeleo ya Tanzania Unaoifanya, Utailetea CCM Ushindi Kishindo Katika Uchaguzi Wowote, Tunakuomba Please Please Please, Ruhusu Tuu Ushindani wa Haki, Wazi na Usawa Kwa Vyama Vyote,
Utabarikiwa Zaidi na Zaidi, na Tanzania Tutabarikiwa.

Nawatakia Jumapili Njema
Na mimi nawahi kanisani
Misa ya Kwanza pale kanisa langu la St. Peters

Paskali
Pascal nasikitika kukuambia kuwa
Hua nashindwa kukuelewa unashindwaje kuielewa CCM jinsi inavyowatendea wapinzani kinyume kabisa na matakwa ya katiba na wewe unakaa kimya tu.
Mkuu lee van cliff , karibu mitaa hii uone kimya changu.

Ile karma unaweza kuiona hapa in clear picture.

FB_IMG_1634495256250.jpg
 
Kakweli Pascal Mayalla ulionya sana ndugu yako akashupaza shingo. Ona sasa
 
Wanabodi,

Naomba nimalizie kwa ile kauli ya thread hii
"Ushindi Mtamu ni ushindi unaopatikana kwa ushindani wa haki kwenye uchaguzi huru na wa haki, unaaendeshwa na Tume huru na shirikishi ya uchaguzi na unaofanyika kwenye uwanja sawa wa ushindani wa kisiasa, sio huu uwanja tenge tulionao, na kupata ushindi wa mezani!.

Mheshimiwa Rais, wetu, Dr. John Pombe Magufuli, aka.JPM, kasi yako ya maendeleo ya Tanzania unaoifanya, ina ku guarantee utailetea CCM ushindi safi wa kishindo cha halali katika uchaguzi wowote, tunakuomba sana!, sana!, sana!, "Please! Please! Please!, ruhusu tuu ushindani wa haki, wazi na usawa kwa vyama vyote, kushiriki uchaguzi kwa uhuru na haki sasa kwa wote!, utabarikiwa zaidi na zaidi, na Tanzania tutabarikiwa!, ukiruhusu hizi figisu zinazoendelea, hazina hatima njema kwako, kwa chama chako wala kwa nchi yetu, kwasababu kuna lijamaa fulani linaitwa karma'hilo linataka haki bin haki!, usipotenda haki, lenyewe linaingiliaga kati na halijuagi cha nani wala cha nini!, lenyewe ni haki haki tuu bin haki usipotenda haki!, linaingilia!.

Paskali
Habari za leo wadau.

Chama Cha Mapinduzi kupitia Katibu wake Wa Uenezi komledi Shaka kimesema Vyama vya upinzani viwe huru kabisa Kususia uchaguzi hususani CHADEMA ambao ndio wamekuwa wakisema watasusia chaguzi zozote bila Tume huru na Katiba Mpya.

Shaka amesema wakisusa CCM wao wataendelea kula.

Wanachadema pokeeni dongo Hilo mtaamua kula au kushinda na njaa.👇View attachment 2444592
Japo naunga mkono hoja, ya "ukisusa sie twala...," na siungi mkono hii tabia ya kususa susa.... Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto? na hapa Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM! na Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA is almost dead, due to deadly mistakes! This is your only survival -- do or die. Msirudie kosa

Lakini kama wanasusa for genuine reasons za kutotendewa haki, kama tulivyo shauri hapa Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi

Najua by now wasoma trends wanajua the consequences za kutotenda haki kwenye uchaguzi, sisi washauri huru tuliisha shauri kabla Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa! hivyo Shaka asijitape wakisusa kwa kutetendewa haki sisi twala, badala ya kula wakajikuta wao ndio wanaliwa vichwa!.

Karma haina mswalie Mtume, walishindwa kumlinda Blaza, karma ikafanya yake!, ili kumlinda Maza na karmic consequences, sisi tunao ijua karma, lazima tumsaidie Maza kwa kumweleza ukweli ili aepuke the consequences na yeye asije... hivyo kwa kuanzia tumemshauri Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
P
 
Wanabodi,

Mada kuu kuhusu makala ya leo ni hizi figisu figisu za uchaguzi serikali za mitaa zinazoendelea na zilizopelekea Chama kikuu cha upinzani kwa huku bara, Chadema, kujitoa kikifuatiwa na Chama cha ACT Wazalendo kwa hoja za kutotendewa haki. This is not good at all kwa mustakabali mwema wa taifa letu, kwasababu kama ni kweli hawakutendewa haki, machozi ya kilio cha haki husababisa a very bad karma kwa taifa letu, na ubaya wa karma sio tuu inaweza ku hit taifa letu kama taifa, lakini karma ina tabia ya ku hit kwa baadhi ya viongozi individuals if they have a hand kwenye yanayotokea.
Hivi binadam wengi awawezi kuishi kabisa kwenye wanacho kiamini. Kaka mleta post ulikua mmoja ya wale walioshangiria makosa yaliyofanyika kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wakati wa utawala wa JPM. Tupo tuliopinga hiyo tabia na hayo matuimizi mabaya ya dola na katiba ingawa wewe na genge lako mlikua mstari wa mbele kusema kinachofanywa ni sahihi kabisa. Nataka kusema nini hapa? Wewe na genge lako una moral authority na legitimacy kusema wala kushauri hilo
Mkuu Bishweko , asante kwa mchango wako, ila kuna watu ukishawajua ni makada wa kile chama chetu pekee, unadhani wote ni wa kereketwa au wafurukutwa, wengine ni makada wazalendo, wanasimama na haki bin haki, kada mimi ni mmoja wapo, angalia mada zangu hizi kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.
P
 
Pascal, hayo unadhani yametokea kwa bahati mbaya?

Unamuomba waziri Jafo ambaye juzi kasema ''figisu' ni jambo la kawaida

Kurudisha waliokatwa si suluhisho, wanaweza kurudishwa, kura zikahesabiwa ''kilatini''
Kinachotakiwa ni ushindi wa asilimia 98 kwenda mbele, na hiyo haipatikani bila ''namna''
Hiki ulichokisema kura kuhesabiwa Kilatini ndicho Nape alichokisema!, kimekuwa kinafanyika, sasa watu wanashangaa nini?.

Tangu nimesikia ya Nape sijasema chochote! najua alichosema ndicho na mara nyingi Nape ni Mkweli.
Alisema goli la Mkono na sasa kuhusu wanavyotangazwa.

Hata hivyo nawaelewa Wananchi wanaoshangaa na waliochukizwa na kauli za Nape.
Fikiria hivi, kuna INEC ikisemwa ni Tume huru ya Uchaguzi. Upande mwingine tunasikia 4R halafu tunasikia 'Uchaguzi utakuwa wa Amani'' na mwisho '' yale ya 2020 hayatarudiwa tena.

Wananchi wanahasira kuhusu udanganyifu na aiyethibitisha hilo ni kiongozi mwandamizi kama si mwendawazimu. Wananchi walitegemea baada ya kauli hiyo CCM na Serikali wajitenge naye, lakini bado wamekumbatia. Hilo tu ndilo linawafanya Wananchi washangae !
 
Back
Top Bottom