sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,743
- 6,240
Hiki kiini macho cha wanachoita uchaguzi tayri washajipitisha, kitu watakachopigia kelele ni endapo maandamano hayatafanyika, watafurahi sana na ndio itakua topic.
Ila wafahamu kitu kimoja, yakifanyika au yakifanyika kwa udogo, in any way ambayo kwao wanaona ni ushindi, "the seed has been planted", they won't rest at all.
Kwanza kwa sasa wameshaanza kuishi kama wahuni, hata comments hawafungui, and this is just the beginning, na huko tunakoenda, watazomewa wazi wazi.