Wazomee ukitaka, bora wametimiza wajibu wao na kulifanya taifa salama wako tayari kuzomewa.Hiki kiini macho cha wanachoita uchaguzi tayri washajipitisha, kitu watakachopigia kelele ni endapo maandamano hayatafanyika, watafurahi sana na ndio itakua topic.
Ila wafahamu kitu kimoja, yakifanyika au yakifanyika kwa udogo, in any way ambayo kwao wanaona ni ushindi, "the seed has been planted", they won't rest at all.
Kwanza kwa sasa wameshaanza kuishi kama wahuni, hata comments hawafungui, and this is just the beginning, na huko tunakoenda, watazomewa wazi wazi.
Mnachoweza ni matusi na matisho ya mtandaoni tu lakini kwa GROUND hakuna mwenye ujasiriHiki kiini macho cha wanachoita uchaguzi tayri washajipitisha, kitu watakachopigia kelele ni endapo maandamano hayatafanyika, watafurahi sana na ndio itakua topic.
Ila wafahamu kitu kimoja, yakifanyika au yakifanyika kwa udogo, in any way ambayo kwao wanaona ni ushindi, "the seed has been planted", they won't rest at all.
Kwanza kwa sasa wameshaanza kuishi kama wahuni, hata comments hawafungui, and this is just the beginning, na huko tunakoenda, watazomewa wazi wazi.
Vip mkuu Pigo lao Takatifu bado lipo??Maandamano yapo pale pale
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu,pigo lililonyooka,pigo lenye nguvu, pigo takatifu.Vip mkuu Pigo lao Takatifu bado lipo??
Maana tunalisubiri Kwa shauku kubwa
Mnachoweza ni matusi na matisho ya mtandaoni tu lakini kwa GROUND hakuna mwenye ujasiri
Kwani mkuu utaandamana? Au..hata Ccm hawana ubavu.
..Polisi wakikaa pembeni Ccm hawawezi kukabiliana na wapinzani.
CCM ni msoga na wanamtandao, sijui wewe unaisemea CCM ipi?Unaweza kushinda alafu ukawa huna furaha Rais wanaweza ku black mail maana watajua ushindi wake ni wa kubebwa kwa hiyo ndani ya CCM hataweza tena kua na sauti