Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
USHINDI WA CCM OKTOBA 2020 ITAKUWA FEDHEHA KWA UPINZANI HASA CHADEMA NA ACT.
Niliwaambia wapinzani waungane waunde Umoja utakaoitwa MUMAFI (MUUNGANO WA MABADILIKO YA FIKIRA) lakini wamekubali kugawana kura kiulani Sana, kwa ubishi huu wa kujifanya mnajua Sana kuliko watazamaji wanaojua Nini kinaendelea, yaani hata Serikali ya Mseto hamtaipata kwa mtindo huu.
Unajua Kiongozi mwenye Busara anasikiliza na kuelewa lakini ndugu zangu na jamà zangu Wapinzani hawaelewi kabisa, wanafanya siasa kwa kukariri.
1.Wagombea wao wameuza majimbo na kata na wanasingizia ni mapingamizi ili Hali najua michezo yote ya Uchaguzi.
2.Membe na ACT watashangaa sapoti inapotea kabisa na hawatajua inatokea wapi.
3.Mbowe na Lisu itawalazimu kutafuta mganga wa Fikra kuwaokoa dakika za mwisho.
4.CCM japo watashinda kwa mbinde lakini kwasababu ya ujinga wa Vyama vya Upinzani.
4.CUF itapata nguvu baada ya huu Uchaguzi wa mwaka 2020 na kitakuwa Chama kizuri Cha kuaminiwa.
Leo DON NALIMISON naishia hapa.
Simu Na: 0682 94 29 01.
Dodoma.