Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #21
Hawaonekani kuwa na moyo huo.Wale fikra zao zote ni kukimbia na wakipata fursa huko Sudan wanaweza kufika mpaka Tanzania.Ingekuwa wamepigana kidogo wakapata misukosuko tungedhani kuwa wakipata mafunzo watarudi,kumbe wamekimbia kwa kusikia ndege za kijeshi zikiruka juu.Viongozi wa Tigray hawana wanamgambo kabisa kusogeza mbele vita. Mamluki wa kirusi na kifaransa hawana sababu ya kwenda Tigray.Hao vijana huko Sudan wataenda kupata mafunzo nadhimu ya kijeshi na watapata ufadhiri wa silaha kutoka nchi za magharibi, watakaporudi for revenge ndo utaelewa.... Kiufupi ushindi wa kijeshi ni kama adui anajisalimisha kwako, sio akimbie nchi nyingine ambayo huwezi kumfata.