Hawaonekani kuwa na moyo huo.Wale fikra zao zote ni kukimbia na wakipata fursa huko Sudan wanaweza kufika mpaka Tanzania.Ingekuwa wamepigana kidogo wakapata misukosuko tungedhani kuwa wakipata mafunzo watarudi,kumbe wamekimbia kwa kusikia ndege za kijeshi zikiruka juu.Viongozi wa Tigray hawana wanamgambo kabisa kusogeza mbele vita. Mamluki wa kirusi na kifaransa hawana sababu ya kwenda Tigray.Hao vijana huko Sudan wataenda kupata mafunzo nadhimu ya kijeshi na watapata ufadhiri wa silaha kutoka nchi za magharibi, watakaporudi for revenge ndo utaelewa.... Kiufupi ushindi wa kijeshi ni kama adui anajisalimisha kwako, sio akimbie nchi nyingine ambayo huwezi kumfata.
Leo watigray wamekomboa mji mmoja ulitekwa na ethiopia juzi
Huku sera ni ubwabwa tu akupiganie nani.....View attachment 1631651
Mji gani uliokombolewa huo.Wanaoweza kuwa wapiganaji wa Tigray ndio hawa wapo kwenye foleni ya chakula nchini Sudan. Hao makamanda wa Tigray itakuwa hawaungwi mkono na watu wao itakuwa wana ajenda za kibinafsi sana na hawana uchumi wala fedha za kuwashawishi vijana wajiunge nao.
Utaje huo mji?Leo watigray wamekomboa mji mmoja ulitekwa na ethiopia juzi