Ushindi wa Jana wa Barca umenipa nafasi ya Kumgegeda Demu wa Mshkaji wangu Leo

Ushindi wa Jana wa Barca umenipa nafasi ya Kumgegeda Demu wa Mshkaji wangu Leo

Stress zitawaua.mimi nasomeshwa na mwajiri. Na uelewe mpaka kunisomesha ni sababu amenielewa ile mbaya. Analipa kila kiti na salaly napata. Kifupi sina stress na ndo maana najiachia na maisha. Sina nachopoteza.

Tayari nina kwangu,wife ana usafiri,mimi nina usafiri. Nina miradi...well sina stress. Nasomeshwa.... Na siishi kinafiki. So wewe komaa na akili yako nami natumia yangu.tukutane tuoneshane wewe una nini nami nina nini. Na usishangae ukaja nikufanyie interview. JF ITS A PLACE WE BE WHAT WE WANNA BE.😁😁😁😁
Tutaaminije huna stress,kusoma masters ni stress za kulinda ajira hizo.
 
Tutaaminije huna stress,kusoma masters ni stress za kulinda ajira hizo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msimuongezee stress mwenzenu, maana haamini kinachomkuta.
 
swali fupi tu majibu furushi.
 
Shule kwangu haijawahi kuwa stress...toka o- level... Unaposoma kitu kinachokuongezea salary why uwe na stress mama? Kusoma ni starehe hasa kama unasoma unachokifaham. Why uteseke?

Tutaaminije huna stress,kusoma masters ni stress za kulinda ajira hizo.
 
Nadhan nmekujibu wewe na wengine wooote. Mimi ntabaki kuwa Juu. Yaani hizi Comments hazinipunguzii kitu ndo nmeshapost na nyie mmesha comment hivyo.nami nmeshafanya na ntaendelea kufanya na nitawaambia...😂😂😂😂 Nanyi mta mind....nami nita enjoy kwa kuwakera.

swali fupi tu majibu furushi.
 
Mimi ntabaki kuwa Juu. Yaani hizi Comments hazinipunguzii kitu ndo nmeshapost na nyie mmesha comment hivyo.nami nmeshafanya na ntaendelea kufanya na nitawaambia...😂😂😂😂 Nanyi mta mind....nami nita enjoy kwa kuwakera.

Tutaaminije huna stress,kusoma masters ni stress za kulinda ajira hizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hauamini majicho yako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msimuongezee stress mwenzenu, maana haamini kinachomkuta.
swali fupi tu majibu furushi.
 
Shule kwangu haijawahi kuwa stress...toka o- level... Unaposoma kitu kinachokuongezea salary why uwe na stress mama? Kusoma ni starehe hasa kama unasoma unachokifaham. Why uteseke?
Sawa sawa, dada msomi wa kiwango cha Masterz
 
Sawa na mawatu yaliyo tayari kukataa kufanya kazi popote kwa kigezo kutaka kufanya kazi ktk maeneo yenye hadhi ya jina bila ya kuangalia kipato kama vile ikulu kumbe hajui hata kule ikulu wapo wafanya usafi wenye kipato cha kawaida tu kuliko hata wanapopakataa muda kuajiriwa huo[emoji3]
nilishasema UDSM ni chuo cha vilaza, ona sasa akili za wanaochukua masters zilivyo hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii siyo siri tena. Wahusika wote wa4 wakisoma tu wanaelewa. Utatupa mrejesho yatakayo jili pia baada ya huu uzi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo ya kubet ni mambo mazuri sana ukiyapatia.

Nina jamaa yangu ambaye ni wakaribu sana. Mimi nlipokuwa namtokea demu wangu...nikampata nikaja gundua ana rafiki yake naye mkali vizuri tu na rafikiye alikuwa pia ananizimikia flani sababu demu wangu alikuwa anampa sana stories zetu za chumbani.

Nikaona isiwe shida nimuungnishe jamaa yangu naye awe anavuta ule mzigo ili demu wangu anapokuja kuntembelea hostel hapa mabibo rafikiye asiwe mpweke maana alikuwa single na jamaa yangu alikuwa single.sisi wote tunafanya masters udsm.

Juzi jioni tunapata msosi tupo wote wananne tukawa tunataniana kuwa kama Barca itashinda zaidi ya bao Mbili mimi nitamgegeda demu wake.isiposhinda hivyo yeye atamgegeda demu wangu.

Mimi nlimwona demu wake alivyokuwa anafurahi kidizaini.nikasema yale maneno yawe hivyo ila siku ya kugegeda iwe siri ya wahusika wawili na pia hakuna kusema.ilikuwa kama utani but mimi nlikuwa serious nlishatamani kumwonja demu wa mshkaji.

Tukahakikishiana hivyo.jana tumecheck game pamoja wote wanne.mpira umeisha demu wa mshkaji akawa anacheka sana ana mtania jamaa "yaani babe umenitoa sadaka mwenzio...kumbe hunipendi" huku kamwegamia..

Jamaa akawa anacheka tu anasema "nikijua wote ntawachoma moto acheni ujinga na mambo haya" basi ikaishia hivyo hivyo. Demu wangu leo aliwahi vipindi asubuh chuo.mimi nlishaamua kutoenda nifuatilie ahadi yangu ya kubet.

Basi nikampigia shem kama utani. "Shem leo nakusubiri maana jana nmefanya maombi ya kufa mtu Barca washinde.wameshinda nasubiria ahadi nliyopewa na mumeo mtarajiwa"

"Yaani shemu mlikuwa serious?jamani mbona mnatufanyia hivyo... Ujue mtagombana kwa mambo yenu hayo ya kijinga"

Nikawambia makubaliano yalikuwa iwe siri kati ya watu wawili so yeye aje room kimya kimya tuyamalize bila jamaa kujua. Bahati nzuri yeye hakuwa na vipindi.ila jamaa leo alienda kazini maana naye pia anafanya kazi sema alihitajika mara moja.so aliwahi sana kuondoka.

Basi nmeshawishi demu wa jamaa kaja room saa moja nikiwa peke yangu... Tume enjoy kwa kweli. Amefurah nami nmefurahi na dk 20 ago ameondoka akaoge room kwake aende chuo ana kipindi saa nne. Ila tumekubaliana itaendelea kuwa siri yetu.

Kubet ni kuzuri jaman hasa team yako ikishinda. Na ukiwa una taka kupata demu kumbe unaweza ila uwe umeshamsoma vizuri.mimi leo nmekula demu wa jamaa yangu.na ninashukuru jamaa yangu hajui kabisa masuala ya JF. Ni mkoloni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...Alafu utamsikia Magufuli anateua wasomi wenye Masters
 
Back
Top Bottom