Stress zitawaua.mimi nasomeshwa na mwajiri. Na uelewe mpaka kunisomesha ni sababu amenielewa ile mbaya. Analipa kila kiti na salaly napata. Kifupi sina stress na ndo maana najiachia na maisha. Sina nachopoteza.
Tayari nina kwangu,wife ana usafiri,mimi nina usafiri. Nina miradi...well sina stress. Nasomeshwa.... Na siishi kinafiki. So wewe komaa na akili yako nami natumia yangu.tukutane tuoneshane wewe una nini nami nina nini. Na usishangae ukaja nikufanyie interview. JF ITS A PLACE WE BE WHAT WE WANNA BE.😁😁😁😁