Ushindi wa Jana wa Barca umenipa nafasi ya Kumgegeda Demu wa Mshkaji wangu Leo

Ndo nasoma uzi hapa , ngoja nikufuate ukione cha moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe unaakili kweli??yaaani kweli unakuja haoa kujisifia uzinifu??ukimwi upo nduguyangu hakuna shujaa aliyeshindana na alipo toka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe pia akili yako tuna mashaka nayo.
 
Maandishi yako hayako ki master master,hivi kweli mtu unachukua MASTERS degree unaweza kuwa na mawazo ya kitoto kama haya, kweli hao ndo wasomi wa TANZANIA YA VIWANDA
 
Sasa wewe hata kuandika tu hujui kweli utaweza mapenzi? Umekisoma ulichoandika? Wewe uliishia darsa la nne na hujawah kujiendeleza unakuja hapa unakuta wanaume tupo nawe unataka kuchangia kweli? Uwe na adabu dada.... Tajiri yako akikukona una chat hufanyi kazi jikoni atakutimua halafu ukalalamike kuwa house girls mnanyanyaswa.

Hivi wewe unaakili kweli??yaaani kweli unakuja haoa kujisifia uzinifu??ukimwi upo nduguyangu hakuna shujaa aliyeshindana na alipo toka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwangaluka baba.....yaani kama watu wa master ndio hawa wanasherekea kugegeda madem za watu...halufu wanatoka UD....Mimi kwa maoni yangu naona kuna changamoto mahali....
 
Kamgegedee pale Uhuru na Msimbazi kweupe watu wakuone mubashara Kama kidume kweli.
 
Kama ni kweli wewe ni masterz basi zile stori za kusadikika kuwa udsm siku hizi inatoa vilaza huenda ikawa ni kweli.
 
Aiseee!
 
Alafu anasoma Masters huyu, Akili kama hizi, unafanya ushenzi na rafiki wa Rafikiyo... Kweli Mungu atutie nguvu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…