otsward
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 300
- 242
Ndo nasoma uzi hapa , ngoja nikufuate ukione cha motoMambo ya kubet ni mambo mazuri sana ukiyapatia.
Nina jamaa yangu ambaye ni wakaribu sana. Mimi nlipokuwa namtokea demu wangu...nikampata nikaja gundua ana rafiki yake naye mkali vizuri tu na rafikiye alikuwa pia ananizimikia flani sababu demu wangu alikuwa anampa sana stories zetu za chumbani.
Nikaona isiwe shida nimuungnishe jamaa yangu naye awe anavuta ule mzigo ili demu wangu anapokuja kuntembelea hostel hapa mabibo rafikiye asiwe mpweke maana alikuwa single na jamaa yangu alikuwa single.sisi wote tunafanya masters udsm.
Juzi jioni tunapata msosi tupo wote wananne tukawa tunataniana kuwa kama Barca itashinda zaidi ya bao Mbili mimi nitamgegeda demu wake.isiposhinda hivyo yeye atamgegeda demu wangu.
Mimi nlimwona demu wake alivyokuwa anafurahi kidizaini.nikasema yale maneno yawe hivyo ila siku ya kugegeda iwe siri ya wahusika wawili na pia hakuna kusema.ilikuwa kama utani but mimi nlikuwa serious nlishatamani kumwonja demu wa mshkaji.
Tukahakikishiana hivyo.jana tumecheck game pamoja wote wanne.mpira umeisha demu wa mshkaji akawa anacheka sana ana mtania jamaa "yaani babe umenitoa sadaka mwenzio...kumbe hunipendi" huku kamwegamia..
Jamaa akawa anacheka tu anasema "nikijua wote ntawachoma moto acheni ujinga na mambo haya" basi ikaishia hivyo hivyo. Demu wangu leo aliwahi vipindi asubuh chuo.mimi nlishaamua kutoenda nifuatilie ahadi yangu ya kubet.
Basi nikampigia shem kama utani. "Shem leo nakusubiri maana jana nmefanya maombi ya kufa mtu Barca washinde.wameshinda nasubiria ahadi nliyopewa na mumeo mtarajiwa"
"Yaani shemu mlikuwa serious?jamani mbona mnatufanyia hivyo... Ujue mtagombana kwa mambo yenu hayo ya kijinga"
Nikawambia makubaliano yalikuwa iwe siri kati ya watu wawili so yeye aje room kimya kimya tuyamalize bila jamaa kujua. Bahati nzuri yeye hakuwa na vipindi.ila jamaa leo alienda kazini maana naye pia anafanya kazi sema alihitajika mara moja.so aliwahi sana kuondoka.
Basi nmeshawishi demu wa jamaa kaja room saa moja nikiwa peke yangu... Tume enjoy kwa kweli. Amefurah nami nmefurahi na dk 20 ago ameondoka akaoge room kwake aende chuo ana kipindi saa nne. Ila tumekubaliana itaendelea kuwa siri yetu.
Kubet ni kuzuri jaman hasa team yako ikishinda. Na ukiwa una taka kupata demu kumbe unaweza ila uwe umeshamsoma vizuri.mimi leo nmekula demu wa jamaa yangu.na ninashukuru jamaa yangu hajui kabisa masuala ya JF. Ni mkoloni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app