Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
nilishasema UDSM ni chuo cha vilaza, ona sasa akili za wanaochukua masters zilivyo hovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UsimgemfunguaWatu tuna enjoy maisha wewe baki na stress zako.... Ungekuwa na akili usimgefungua hata kusoma huu uzi. Na ukikaa vibaya hata wewe ntakugegeda.si suala ni pesa tu?
Hawa ndo wasomi tunaowategemea ktk kizaz kijacho shame on you unatuaibisha wenye master wenzioMambo ya kubet ni mambo mazuri sana ukiyapatia.
Nina jamaa yangu ambaye ni wakaribu sana. Mimi nlipokuwa namtokea demu wangu...nikampata nikaja gundua ana rafiki yake naye mkali vizuri tu na rafikiye alikuwa pia ananizimikia flani sababu demu wangu alikuwa anampa sana stories zetu za chumbani.
Nikaona isiwe shida nimuungnishe jamaa yangu naye awe anavuta ule mzigo ili demu wangu anapokuja kuntembelea hostel hapa mabibo rafikiye asiwe mpweke maana alikuwa single na jamaa yangu alikuwa single.sisi wote tunafanya masters udsm.
Juzi jioni tunapata msosi tupo wote wananne tukawa tunataniana kuwa kama Barca itashinda zaidi ya bao Mbili mimi nitamgegeda demu wake.isiposhinda hivyo yeye atamgegeda demu wangu.
Mimi nlimwona demu wake alivyokuwa anafurahi kidizaini.nikasema yale maneno yawe hivyo ila siku ya kugegeda iwe siri ya wahusika wawili na pia hakuna kusema.ilikuwa kama utani but mimi nlikuwa serious nlishatamani kumwonja demu wa mshkaji.
Tukahakikishiana hivyo.jana tumecheck game pamoja wote wanne.mpira umeisha demu wa mshkaji akawa anacheka sana ana mtania jamaa "yaani babe umenitoa sadaka mwenzio...kumbe hunipendi" huku kamwegamia..
Jamaa akawa anacheka tu anasema "nikijua wote ntawachoma moto acheni ujinga na mambo haya" basi ikaishia hivyo hivyo. Demu wangu leo aliwahi vipindi asubuh chuo.mimi nlishaamua kutoenda nifuatilie ahadi yangu ya kubet.
Basi nikampigia shem kama utani. "Shem leo nakusubiri maana jana nmefanya maombi ya kufa mtu Barca washinde.wameshinda nasubiria ahadi nliyopewa na mumeo mtarajiwa"
"Yaani shemu mlikuwa serious?jamani mbona mnatufanyia hivyo... Ujue mtagombana kwa mambo yenu hayo ya kijinga"
Nikawambia makubaliano yalikuwa iwe siri kati ya watu wawili so yeye aje room kimya kimya tuyamalize bila jamaa kujua. Bahati nzuri yeye hakuwa na vipindi.ila jamaa leo alienda kazini maana naye pia anafanya kazi sema alihitajika mara moja.so aliwahi sana kuondoka.
Basi nmeshawishi demu wa jamaa kaja room saa moja nikiwa peke yangu... Tume enjoy kwa kweli. Amefurah nami nmefurahi na dk 20 ago ameondoka akaoge room kwake aende chuo ana kipindi saa nne. Ila tumekubaliana itaendelea kuwa siri yetu.
Kubet ni kuzuri jaman hasa team yako ikishinda. Na ukiwa una taka kupata demu kumbe unaweza ila uwe umeshamsoma vizuri.mimi leo nmekula demu wa jamaa yangu.na ninashukuru jamaa yangu hajui kabisa masuala ya JF. Ni mkoloni sana.
oh my God, Masters ya Tanzania unaandika hayo!! Msukuma ana kazi
sasa huoni umesha jikaangaa mwenyewe unazani mshakaji hawezi kujua ama kuona huu uzi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nasimama na wewe mkuu,Kama story Ni ya kweli basi umeenda sawa kabisa na maagano,maana huwezi jua man untd angeshinda yeye angemfanyaje demu wako,..Natamani hiyo nafsi nigeipata mm Tena Leo bet Tena Liverpool anashinda umpe mimba kabisa mkuu..
Hao wanaoona mtu mwenye masters anatakiwa awe malaika achana nao Ni hulka za kijnga TU halafu utakuta ndio hao wanaomshangilia pr.lipumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndo wasomi tunaowategemea ktk kizaz kijacho shame on you unatuaibisha wenye master wenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
nilishasema UDSM ni chuo cha vilaza, ona sasa akili za wanaochukua masters zilivyo hovyo
We Mzee haushangai imekuwaje na wao wawili wamepata dharula ya kutoka pamoja asubuisubui Leo?Nakuhakikishia nao wameenda kulana,tena wao wamewahi SAA 1 kamili walikuwa washaanza kusokotana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaaa, degree moja inatosha kabisa, kufanya maisha,sasa angalieni vilaza wa Masterz hao na mambo wanayofanya.Hizi ndio akili za watu wenye masters, you guys mnapoteza muda huko block F, rudini mkalime.
Msomi wa Masters anafanya Mapenzi huko afu arudi kutangaza kwenye Social media.Ha ha haaaa, degree moja inatosha kabisa, kufanya maisha,sasa angalieni vilaza wa Masterz hao na mambo wanayofanya.
Gerara here man, Hiyo masters sijui kama utafanikiwa kuipataMambo ya kubet ni mambo mazuri sana ukiyapatia.