Ushindi wa Jana wa Barca umenipa nafasi ya Kumgegeda Demu wa Mshkaji wangu Leo

Ushindi wa Jana wa Barca umenipa nafasi ya Kumgegeda Demu wa Mshkaji wangu Leo

Yote yanawezekana.... Hatujawaoa hao wadada kila mtu aenjoy.
Kitu kibaya ktk ulimwengu wa kiroho mmeumba pepo LA uzinzi wa kutafuniana wenza wenu!!!hata mkioa we utakuwa unamla mkewe kiulainiiii nae anakula wa kwako kimyakimya.Nakushauri ili kuliua hili pepo LA uzinzi vunja urafiki na Huyo jamaa na utubu hiyo dhambi
 
Duh!! Eti na wewe unachukua masters!!! Hii elimu yetu mbona majanga!!!!! Masuala ya Kitoto ndiyo mtu mzima na elimu yake anatuhadithia!!! Ovyo sana tena mshamba na limbukeni!!!!!!
Masters ya Uzinifu inafundishwa chuo kipi?
 
Nimeona Masters, nikaona hostel, nikaona vipindi asubuhi, nikaona kazini asubuhi, nikaona akaoge kwake, nikaona saa moja!..

Labda nimeisoma vibaya!.
 
Mambo ya kubet ni mambo mazuri sana ukiyapatia.

Nina jamaa yangu ambaye ni wakaribu sana. Mimi nlipokuwa namtokea demu wangu...nikampata nikaja gundua ana rafiki yake naye mkali vizuri tu na rafikiye alikuwa pia ananizimikia flani sababu demu wangu alikuwa anampa sana stories zetu za chumbani.

Nikaona isiwe shida nimuungnishe jamaa yangu naye awe anavuta ule mzigo ili demu wangu anapokuja kuntembelea hostel hapa mabibo rafikiye asiwe mpweke maana alikuwa single na jamaa yangu alikuwa single.sisi wote tunafanya masters udsm.

Juzi jioni tunapata msosi tupo wote wananne tukawa tunataniana kuwa kama Barca itashinda zaidi ya bao Mbili mimi nitamgegeda demu wake.isiposhinda hivyo yeye atamgegeda demu wangu.

Mimi nlimwona demu wake alivyokuwa anafurahi kidizaini.nikasema yale maneno yawe hivyo ila siku ya kugegeda iwe siri ya wahusika wawili na pia hakuna kusema.ilikuwa kama utani but mimi nlikuwa serious nlishatamani kumwonja demu wa mshkaji.

Tukahakikishiana hivyo.jana tumecheck game pamoja wote wanne.mpira umeisha demu wa mshkaji akawa anacheka sana ana mtania jamaa "yaani babe umenitoa sadaka mwenzio...kumbe hunipendi" huku kamwegamia..

Jamaa akawa anacheka tu anasema "nikijua wote ntawachoma moto acheni ujinga na mambo haya" basi ikaishia hivyo hivyo. Demu wangu leo aliwahi vipindi asubuh chuo.mimi nlishaamua kutoenda nifuatilie ahadi yangu ya kubet.

Basi nikampigia shem kama utani. "Shem leo nakusubiri maana jana nmefanya maombi ya kufa mtu Barca washinde.wameshinda nasubiria ahadi nliyopewa na mumeo mtarajiwa"

"Yaani shemu mlikuwa serious?jamani mbona mnatufanyia hivyo... Ujue mtagombana kwa mambo yenu hayo ya kijinga"

Nikawambia makubaliano yalikuwa iwe siri kati ya watu wawili so yeye aje room kimya kimya tuyamalize bila jamaa kujua. Bahati nzuri yeye hakuwa na vipindi.ila jamaa leo alienda kazini maana naye pia anafanya kazi sema alihitajika mara moja.so aliwahi sana kuondoka.

Basi nmeshawishi demu wa jamaa kaja room saa moja nikiwa peke yangu... Tume enjoy kwa kweli. Amefurah nami nmefurahi na dk 20 ago ameondoka akaoge room kwake aende chuo ana kipindi saa nne. Ila tumekubaliana itaendelea kuwa siri yetu.

Kubet ni kuzuri jaman hasa team yako ikishinda. Na ukiwa una taka kupata demu kumbe unaweza ila uwe umeshamsoma vizuri.mimi leo nmekula demu wa jamaa yangu.na ninashukuru jamaa yangu hajui kabisa masuala ya JF. Ni mkoloni sana.
Ndo maana hizo masters mnaishia kubishana dhaifu tusi au si tusi ksb muda wote mnawaza ngono tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stress zitawaua.mimi nasomeshwa na mwajiri. Na uelewe mpaka kunisomesha ni sababu amenielewa ile mbaya. Analipa kila kiti na salaly napata. Kifupi sina stress na ndo maana najiachia na maisha. Sina nachopoteza.

Tayari nina kwangu,wife ana usafiri,mimi nina usafiri. Nina miradi...well sina stress. Nasomeshwa.... Na siishi kinafiki. So wewe komaa na akili yako nami natumia yangu.tukutane tuoneshane wewe una nini nami nina nini. Na usishangae ukaja nikufanyie interview. JF ITS A PLACE WE BE WHAT WE WANNA BE.😁😁😁😁

Ha ha haaaa, degree moja inatosha kabisa, kufanya maisha,sasa angalieni vilaza wa Masterz hao na mambo wanayofanya.
Gerara here man, Hiyo masters sijui kama utafanikiwa kuipata
Msomi wa Masters anafanya Mapenzi huko afu arudi kutangaza kwenye Social media.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana waajiri wengi wanataka vijana wa veta

Hizi degree za chuo ni upuuzi mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stress zitawaua.mimi nasomeshwa na mwajiri. Na uelewe mpaka kunisomesha ni sababu amenielewa ile mbaya. Analipa kila kiti na salaly napata. Kifupi sina stress na ndo maana najiachia na maisha. Sina nachopoteza.

Tayari nina kwangu,wife ana usafiri,mimi nina usafiri. Nina miradi...well sina stress. Nasomeshwa.... Na siishi kinafiki. So wewe komaa na akili yako nami natumia yangu.tukutane tuoneshane wewe una nini nami nina nini. Na usishangae ukaja nikufanyie interview. JF ITS A PLACE WE BE WHAT WE WANNA BE.😁😁😁😁

Hawana exposure hawa,yani kajiona hapo kawin sana kutangaza kwenye mitandao kua kafanya mapenzi.
Ndo maana hizo masters mnaishia kubishana dhaifu tusi au si tusi ksb muda wote mnawaza ngono tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona Masters, nikaona hostel, nikaona vipindi asubuhi, nikaona kazini asubuhi, nikaona akaoge kwake, nikaona saa moja!..

Labda nimeisoma vibaya!.
Masters ya Uzinifu inafundishwa chuo kipi?
[emoji23][emoji23][emoji23]akijibu nitag

Mti wenye matunda.
Kitu kibaya ktk ulimwengu wa kiroho mmeumba pepo LA uzinzi wa kutafuniana wenza wenu!!!hata mkioa we utakuwa unamla mkewe kiulainiiii nae anakula wa kwako kimyakimya.Nakushauri ili kuliua hili pepo LA uzinzi vunja urafiki na Huyo jamaa na utubu hiyo dhambi
Ipo siku nawe utaipata...

Cc: mahondaw
NYIE NI DHAIFU
Kweli wewe chizi kama ID yako inamaana ukishauriwa kula mavi kweli utakula? mbona unakuwa mzembe wa kufikiri kias hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wewe ukipita mbele yangu nakugegeda pesa ninayo.

Kama Che Guevara?

Sent using Jamii Forums mobile app
PASCHAL amini kua Chadema kumejaa hazina ya viongozi hata huwezi jua kila uchaguzi unapifika vipaji Vipya vya wanasiasa vinaibuka ahana na ccm wanaibuka watoto wa vigogo pekee hii ndio chadema bana
Mhola nno nkoi

Usile Mbegu.
Hawana exposure hawa,yani kajiona hapo kawin sana kutangaza kwenye mitandao kua kafanya mapenzi.
NYIE NI DHAIFU
Kweli wewe chizi kama ID yako inamaana ukishauriwa kula mavi kweli utakula? mbona unakuwa mzembe wa kufikiri kias hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu[emoji134]
Pole, huyo jamaa yako unafikiri huwa apitii humu JF?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo siku nawe utaipata...

Cc: mahondaw
Kitu kibaya ktk ulimwengu wa kiroho mmeumba pepo LA uzinzi wa kutafuniana wenza wenu!!!hata mkioa we utakuwa unamla mkewe kiulainiiii nae anakula wa kwako kimyakimya.Nakushauri ili kuliua hili pepo LA uzinzi vunja urafiki na Huyo jamaa na utubu hiyo dhambi
Mkuu una uhakika unasoma masters?
[emoji23][emoji23][emoji23]akijibu nitag

Mti wenye matunda.
Masters ya Uzinifu inafundishwa chuo kipi?
Avatar yako inajieleza

Back
Top Bottom