Ushindi wa Lissu ni hakika, Wenje na kundi lake isipokua Mbowe watahamia CCM, CHADEMA kitakua chama chenye nguvu sana

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Baada ya uchaguzi wa kesho kutwa.

Na sababu kubwa itakayomuondoa Wenje ni kua tayari ameshawekwa wazi kubwa ni Project ya watu.

Kama umesikiliza Hotuba ya Wenje na kudadavua mistari yake , Wenje kaamua kutumia Uongo mwingi akidhani anafanya damage.

Msigwa na wengine walofukuzwa Kwa Hila, watarudi CDM .

CHADEMA Itaamka ikiwa chama chenye nguvu kuliko wakati wote.

Hata kama Uchaguzi Mkuu 2025 hawatofanya kitu, nawahakikishia jambo Moja la uhakika Miaka mitano ya uongozi wa tundu lissu, itakua miaka ya moto , huo moto utazaa yaliyo mema

NCHI itapigwa vikwazo vya kutosha Kwa sababu Nguvu kubwa itatumika Kupambana na LISSU .

Hasira za Wananchi zitakua juu kwakua Maisha yatakua Magumu .

Mwaka 2030 utakua uchaguzi huru na wa haki kabisa.

Si Mchina wala Mrusi atakayesaidia , Kwa sababu Utawala na Ukuu wa Magharibi utaondoshwa na YESU tu hamna wa kuushinda.
 
Labda atashinda njaa.
 
Labda atashinda njaa.
IMG-20250116-WA0060.jpg
 
Adui muombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa.

Mbinu ya JIWE imefanikiwa kuvuruga Upinzani ,nunua wapinzani kwa fedha nyingi ,unga mkono juhudi ,lipiwa madeni yako yote ,Ukuu wa Wilaya ,RC ,vyeo kibao ,Fedha za Abdul/DP world zimeleta majonzi upinzani.
 
Back
Top Bottom