MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Hii Nchi ina Comedy kweli yaani una mchezaji wako Kibu mwenye mech 25 Goli moja, Mpanzu mechi 18 goli 3, Magoli 15 ya penalty mishipa ya Shingo inakutoka unataka ubingwa!!!kati ya yanga na simba nani match zake zina makando kando sana
Simba mnabebwa sana.kati ya yanga na simba nani match zake zina makando kando sana
Tajiri gani kwanza yule hana suti, kuutwa mikanzu tu.Siku hzi tajiri yule wa gsm husikii akisema tena yanga bingwa
Sasa ndio umeandika niniYanga kwa Kushirikiana na GSM wanalipa zaidi ya Milioni 800 timu nane za ligi kuu.
Timu 1 sawa na Milioni 100.
Simba wanawapa marefa Milioni 5 kwa mchezo mmoja
Ulitaka niandike nini mkuu???Sasa ndio umeandika nini
Nitashangaa sana mwanasimba yeyote atakayefurahia hata pale itakapotokea timu imetwaa ubingwa wa Ligi. Siku zote ukiitazama Yanga inavyocheza una enjoy anaona mpira halisi na hata wakichukua ubingwa unaona wamestahili!
Ila upande wa pili huko ukiangalia unaona kabisa ni ubingwa wa kulazimishia na kubebwa! Kwa kifupi HAUNOGI kabisa! Hakuna pira burudani huko!
Tujenge timu kwanza.
Mtapiga mayowe sana mwaka huu, tarehe 15 June msipoleta timu inakula kwenu, endeleeni tu kushikiwa akili na mamluki Haji ManaraNitashangaa sana mwanasimba yeyote atakayefurahia hata pale itakapotokea timu imetwaa ubingwa wa Ligi. Siku zote ukiitazama Yanga inavyocheza una enjoy anaona mpira halisi na hata wakichukua ubingwa unaona wamestahili!
Ila upande wa pili huko ukiangalia unaona kabisa ni ubingwa wa kulazimishia na kubebwa! Kwa kifupi HAUNOGI kabisa! Hakuna pira burudani huko!
Tujenge timu kwanza.
Barua haujaona? HATUCHEZIDerby utacheza huchezi... ;???