Ushindi wa makandokando kubebwa kulazimisha na ulaghai wala haunogi, Ninashauri Simba tuache janja janja tujenge timu

Yanga kama chadema tu, No reforms hatuchezi, wachukue point 15, wachukue ubingwa, waishushe daraja ni sawa tu.
 
Ndio maana halisi ya ubaya ubwela hiyo, ukidhamini vilabu kwa ajili ya kupata mserereko na sisi tunanunua marefa kwa ajili y kupata mserereko so kaa kwa kutulia endelea kufatilia ligi bado inaendlea
 
Hivi nani alimpendekeza Ateba kuja simba, anatunyima raha sana msimbazi. Pale mbele Mpanzu akipatiwa wasaidizi wazuri timu itakuwa nzuri zaidi.

Yanga wanacheza vizuri sana ila wanakwenda kuharibu mpira wao kwa kuendekeza migogoro dhidi ya wenye mamlaka ya soka. Kamwe na injinia wamefikia ukomo wa kufikiri. Ni wakati wa Simba kutumia ujinga wa Ersi kujiimarisha.
 
Humbe we ni mwananchi unamshauri mwenye nchi
 
Ushindu ni ushindi tu mkuu! Pambaneni na Yanga yenu
 
Unajiskiaje timu yako utopolo inaposhiriki mashindano ya kimataifa kusini pemba uwanja wa Gombani?
 
Mimbwa inabweka inapiga kelele mitaani
 
 
Unajiskiaje timu yako utopolo inaposhiriki mashindano ya kimataifa kusini pemba uwanja wa Gombani?
Ma wewe unajisikiaje tinu yako inashindana na kina Enyimba na timu zisizoeleweka halafu mnatumia mabilioni kusajili na kumotivate😀😀😀
 
We mbuzi..tangu lini ni Simba..lazima mtoe machozi ya damu mwaka huu utopolo.
 
Ma wewe unajisikiaje tinu yako inashindana na kina Enyimba na timu zisizoeleweka halafu mnatumia mabilioni kusajili na kumotivate😀😀😀
Wewe na Enyimba nani haieleweki? Una nini cha kumzidi Enyimba katika mashindano ya caf wewe utopwinyo
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC.
13. Zuwena SC.
14. Kufa Kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa Bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
27. Mbuzi SC.
 
Wewe unazungumzia ushindi wakati kuna ishu ya kushushwa daraja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…