Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kabebwa bwana hacha ubishii ww na faueo juu anachezaAngalieni in slow motion ndio mtajua why Floyd had won
Team Mayweather
48-0
Kwa alieona hili pambano mwanzo mpaka mwisho ni wazi kabisa bila fitna ya kwamba
mayweather kapendelewa kwenye huu usshindi wake wa kimagumashi, pacquiao kamfumua
mayweather kama mtoto kitu kilichofanya mayweather awe kugeuza kona za ulingo maskani
yake, je unauchukuliaje ushindi wa mayweather?
"Usishikwe akili...tumia akili ulizopewa na Mungu wako".Pacquiao amerusha jumla ya ngumi 429, na zilizompata mpinzani wake (Money) ni 81.
Hii ni asilimia 19%.
Mayweather amerusha jumla ya ngumi 435, na zilizompata mpinzani wake (Pacman) ni 148.
Hii ni asilimia 34%.
Tumia akili yako...usiangalie majaji wameamua nini!! Hata mahakamani wengi wametumbukizwa Jela kisa Jaji kasema!!Wapenzi wa tamthilia mnakaz sana,pale kulkua na ma judge mbal mbal ambao wote wameona money kashinda,sasa ndg zangu tujfunza kukubal kushindwa jaman,asiekubal kushindwa c mshindan
all glory and honour belong to god. Jamaa kamkalisha wiza ila wamembeba tu game nyingi anashinda kwa point za mezani.how comes mtu ashinde kwa kukimbia uwanjani tu?wewe nawe sijui wa wapi....haya nakupa maneno ya pac, manake yaonesha hata humwelewi anachoongea..
"it was a good fight. I got him many times. I saw the punches. I thought i won the fight. He is moving around, it is not easy to throw a lot of punches. I can handle his power. He is not strong like some others. He's not bigger than me, the size doesn't matter, i have fought bigger guys.""
"Usishikwe akili...tumia akili ulizopewa na Mungu wako".
ndo maana watu wanakomaa hapa kila siku katiba ibadilishwe,, huwez kumpa jaji madaraka makubwa ya kuhesabu ngumi zilizomuingia mtu halafu kusiwe na sehem yoyote ya kuhoji. huu ni ufisadi kama ufisadi mwingine
Kuna sheria wanaitumia ya Annonimous Decision kama sijakosea spelling,ni ivi mtu akiwa anatetea mkanda ktk majaji watatu,wawili wakiwa mfano kwa pacquiano mmoja akiwa kwa may weather huo ni ubingwa wa mtetezi.inatakiwa kumvua mtu mkanda majaji woote wawe kwako,pambano la 47 may wether alipigwa vibaya na Margentina sema sheria iyo kandamizi ikambeba na imeendelea kumbeba,wanasema may weather won by annonimous decision.
Pacquiao Yupo live ESPN right now in a press conference na anakiri kuwa amepigwa kihalali sasa sijui mnataka nini
Kwa alieona hili pambano mwanzo mpaka mwisho ni wazi kabisa bila fitna ya kwamba
mayweather kapendelewa kwenye huu usshindi wake wa kimagumashi, pacquiao kamfumua
mayweather kama mtoto kitu kilichofanya mayweather awe kugeuza kona za ulingo maskani
yake, je unauchukuliaje ushindi wa mayweather?