Ushindi wa Mayweather utata

May amepigwa vibaya sana, amepewa ushindi kwa upendeleo kabisa.
 

Wapenzi wa tamthilia mnakaz sana,pale kulkua na ma judge mbal mbal ambao wote wameona money kashinda,sasa ndg zangu tujfunza kukubal kushindwa jaman,asiekubal kushindwa c mshindan
 
Pacquiao amerusha jumla ya ngumi 429, na zilizompata mpinzani wake (Money) ni 81.
Hii ni asilimia 19%.

Mayweather amerusha jumla ya ngumi 435, na zilizompata mpinzani wake (Pacman) ni 148.
Hii ni asilimia 34%.
"Usishikwe akili...tumia akili ulizopewa na Mungu wako".
 
alikuwa anajilinda au alikuwa anakimbia? ulinzi gani wa kukimbia ?
 
Wapenzi wa tamthilia mnakaz sana,pale kulkua na ma judge mbal mbal ambao wote wameona money kashinda,sasa ndg zangu tujfunza kukubal kushindwa jaman,asiekubal kushindwa c mshindan
Tumia akili yako...usiangalie majaji wameamua nini!! Hata mahakamani wengi wametumbukizwa Jela kisa Jaji kasema!!
 
weza amebebwa sana tu haiwezekani mtu kamtoa manundu mwenzake halaf atangazwe ameshindwa sitakaa niamini hiki kitu weza kapigwa sana tu
 
Pacquiao Yupo live ESPN right now in a press conference na anakiri kuwa amepigwa kihalali sasa sijui mnataka nini?
 
Pacquiao Yupo live ESPN right now in a press conference na anakiri kuwa amepigwa kihalali sasa sijui mnataka nini
 
all glory and honour belong to god. Jamaa kamkalisha wiza ila wamembeba tu game nyingi anashinda kwa point za mezani.how comes mtu ashinde kwa kukimbia uwanjani tu?
 
Pacquiao Yupo live ESPN right now in a press conference na kwa maneno yake mwenyewe anakiri kuwa amepigwa kihalali sasa sijui mnataka nini
 
Hah hah hh mchezo wowote lazina uwe na contravesy,na ndo burudani yenyewe....
 

Attachments

  • 1430636494510.jpg
    48.3 KB · Views: 459
Mayweather anacheza kama Chelsea kwa Kujidefend wkt manpac anacheza kama arsenal kwa buruudani kabsaa
 
Pacquiao Yupo live ESPN right now in a press conference na kwa maneno yake mwenyewe anakiri kuwa amepigwa kihalali sasa sijui mnataka nini.
Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi na si boxing
 
ndo maana watu wanakomaa hapa kila siku katiba ibadilishwe,, huwez kumpa jaji madaraka makubwa ya kuhesabu ngumi zilizomuingia mtu halafu kusiwe na sehem yoyote ya kuhoji. huu ni ufisadi kama ufisadi mwingine

Ulitaka aamue nani?
 

A unanimous decision is a winning criterion in several full-contact combat sports, such as boxing, kickboxing, Muay Thai, mixed martial arts and others sports involving striking in which all three judges agree on which fighter won the match.(Wikepedia, 2015)
 
Pacquiao Yupo live ESPN right now in a press conference na anakiri kuwa amepigwa kihalali sasa sijui mnataka nini

Unatujazia seva na mcoment wako, unashadadia utafikiria unapewa percent kadhaa na maiweza.
 
Wafilipino na boxing wapi kwa wapi?
Kazi yao ni kuchoma viazi
Pacquiao akajifunze kuchoma viazi
Boxing ina wenyewe
Floyd ndio dume
48-0
Who's next? Amir Khan?
 

Licha ya kwamba hujui kitu NGUMI as a sport lakini Pia umeathiriwa na utanzania na mila yetu ya kulalamika na visingizio kila tunaposhindwa kitu tumezoea kutafuta mchawi, sio kosa lako. Floyd Mayweather ameshinda fair and square! Nakupa nukuu chache hapa kutoka Las Vegas ring side kama walivyonukuliwa wataalamu na BBC radio 5 live: Nianze na Pacman mwenyewe: "He is moving around a lot, its hard to throw (read connect) many punches!"; huyu Ni Lennox Lewis; former boxing champ aliyemfundisha ngumi Mike Tyson ulingoni! Anasema: "if you can't catch it, you can't hit it!"; Nae rafiki wa tangia utotoni wa Pacman waliyeishi nae kwenye mabox mitaa ya Manilla anasema hivi "you have to accept if you share the ring with Floyd May....., that four out of every five punches you throw at him are going to miss, it hurts"; na Lightweight boxer Anthony Crolla alisema hivi: " Once they get in the ring and realize how hard it is to hit Floyd ...., it just breaks their heart!"; tafuta live feed ya BBC radio 5 kupitia bbcnews.com utazikuta hizi nukuu za watu waliokuwapo MGM grand, Las Vegas,na wanaoijua boxing; sio wewe na Mimi tunaojitia ukakasi buuree!? Floyd Mayweather Jnr is a true king of pound for pound boxing and one of the worlds boxing greats of all time, anaingia katika boxing hall of fame along with the likes of boxing legend Mohamad Ali, Floyd Patterson, Sonny Liston, Joe Frazier, Sugar Ray Leonard, Iron Mike Tyson etc etc; sijui kama mwenzetu uliwahi kuwaangalia in action hawa wafalme wa Boxing; kwani Enzi zao TV ilikuwa kwenye "Geti kali Tu"! Lakini kwa wengi wetu Uswazi mpaka kuhemea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…