Ushindi wa Mayweather utata


Ilishajulikana mapema!

Wachambuzi wengi walishatia shaka!

Wakamwambia PAC ili apate ushindi basi ni kwa KO tu.

Ila kama ikitokea ni pointi,vyovyote vile lazima apewe MAY WEATHER.

na ndio kilichotokea,

Raundi 6 za kwanza kabigwa MAY waziwazi,

Raundi 6 za pili ni kama zimeenda sare.piga nikupige.

PAC kanyimwa ushindi.

Hata takwimu zilizotolewa na majaji wale watatu,ambao wawili kati yao ni wamarekani
Hazilingani kabisa na uhalisia.

Yan ni kama wame-exchange points.

Wamemuonea sana PAC.

Sielewi yani nini kingine kilichompa Weather ushindi zaidi ya upendeleo wa wazi kabisa.

Na sioni nini kingine kememnyima PAC ushindi zaidi ya ubaguzi na kulazimisha heshima kwa nchi ya Marekani.

Mcheza kwao katunzwa.

Sheria duniani haki kwa mungu!

Good work Man PAC.
 

Aliyeniangusha ni Mano. Angepata mbinu nyingine ya kupambana na Mayweather ambaye alikuwa defensive, hili pambano lingeenda kiwango cha Juu zaidi na kumlazimisha Floyd kujionyesha zaidi. Mbinu ya Floyd ilimridhisha na hakuona sababu ya kufanya zaidi.
 
Angaliaa super sport 6 hilo pambanoo wanalirudiarudiaaaa mpkaaa Kero...
Ndoutaelewaaaa kashindaa je....

Niangalie Mara ngapi mkuu! Nimeangalia na nilikua making sana.

Yaani hata kama wangesema wametoka sare bado wangekua wamempendelea may weather.

Angalia wewe uone jinsi raundi 6 za kwanza PAC alivyo- dominate.

Makonde kibao kapigwa may,

Raundi 6 za pili kidogo ndio weather alijitahidi,ikawa piga nikupige.

Lakini ajabu majaji wote wamempa ushindi weather!

Ila wataalam walishaongea,kwamba PAC akitaka ushindi basi ni kwa ko tu!

Wamarekani ni lazima wamkandamize kama atategemea points.

Na ndivyo ilivyotokea..

Ni kama wame- exchange takwimu.

May weather ni kama alishaaidiwa ushindi,ndio maana licha ya kupigwa na kukimbizwa mda wote.
Raundi ya 10 alianza kushangilia!

Ni kama vile aliambiwa,kama asipopigwa kwa ko basi yeye ndiye mshindi!

Wamarekani hawana hata aibu,
Ndio maana wanahamasisha ushoga/usagaji bila hata aibu.

Na leo wamemdhurumu man PAC haki yake bila hata chembe ya haya usoni!

Yaani mwanzo mwisho TEAM MAN PAC ilikua inashangilia kwa kazi nzuri anayofanya PAC .

Kiukweli,bila ubaguzi wa rangi,utaifa na mapenzi binafsi ya waandaaji wa pambano kulazimisha heshima ibaki kwa marekani!

Basi MAN PACUIAO ndiye mshindi halali!

Marekani wamezoea wizi,propaganda na dhurma!

GOOD JOB PAC wherever you are!

Mungu atakulipa/atakurudishia haki yako uliyonyimwa leo,Akhera!

Wenye macho tumeona
 

unaijua boxing vizuri?
 
Yashaisha watu wameingiza mpunga wao.
Tugange yajayo. Kesho tuone dollar ni shi ngapi maana hawachelewi kusema hela zilienda kwa May baada ya ushindi
 
Kama watarudiana mywether ajiandae na kichapo hana uwezo nilijua atashinda kwa ko kumbe jamaa yuko fit balaaa.
 
watu wengi wanahisi kuwa PAC ndiy mshind kwa sheria za ngumi PAC si mshindi hata yy mwenyew kakil, nataka niliweke sawa hili jambo jinsi gan point zinavyohesabiwa, Popote utakapompga ngumi ikamfikia mpinzan isipokuwa usoni ni point 1, na kichwan au uson n point 5,kwa hivyo basi PAC kampga ngumi nying MAY zisizokuwa n point nying n MAY kampga ngumi chache sana PAC zeny point nyng, na ndo maana unaweza kuona mtu kapigwa sana lakn anayekuja kupata ushind ni aliyepgw sana n point na dvns ndo vinavyompa mtu ushindi
 
unaijua boxing vizuri?

Sijapanic ila nimemaindi mkuu!
Hata kama siijui saana kivile,ila ni wazi may kapewa ushindi asiostahili,

Pac hajacheza faul,kampiga makonde mengi,
Jukwaa katawala yeye,

Afu saizi nashangaa takwimu za majaji zinaonesha weather katawala kila idara.
Hata kama cjui kusoma,ila picha nimeiona na nimeielewa.
Labda kupangua ndio kamzidi!
Ila May ndio kapokea makonde mengi! Nashindwa hata kuandika asee ila...

Wame-exchange points naweza nikajikuta nasema hivyo!
 

Relax relax son! Tafuta muda rudia kuangalia pambano vyema na kwa umakini mkubwa utagundua kwa nini TMT kashinda pambano!
 
Majaji wa kule ni professional na si kama wa kibongobongo wa kuhongwa hela ya chai kwny bahasha za kaki. Kumbukeni hilo washkaji.. Wewe unaemtetea Pac na kusema May kabebwa, unaijua boxing kweli, au unaongea tu kama kiyanga na simba
 
Somebody should tell Mayweather he's supposed to hug his wife and punch the guy in the ring not other way round. He hugged Man more times than my dad did to my whole life.
 
Relax relax son! Tafuta muda rudia kuangalia pambano vyema na kwa umakini mkubwa utagundua kwa nini TMT kashinda pambano!

Kashinda kwa sababu ye ni mmarekani na shindano limeandaliwa na wa marekani,
Na limefanyikia marekani,
Na majaji wengi walikuwa ni wa marekani!

Ushindi kwa pac ulikua ni kwa ko tu!
Watafiti wengi/wana-psychology. Walishasema,sikuamini.ila yaliyosemwa yametimia!

Sina hamu hata kidogo ya kurudia kuangalia.maana ntakiona kile kile nilichokiona alfajiri.

Labda we ndio urudie kuangalia mkuu!

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni!

Najua may alikua makini kukwepa,na kupanchi! Na aliporusha alilenga target kwa asilimia kubwa.ila mwisho wa may weather ndio...

ndio karusha makonde mengi
kapigwa makonde mengi
Katawaliwa mwanzo mwisho
Kakimbizwa mwanzo mwisho
Yan alikua anaomba tu mchezo uishe,maana ni kama alijijua kua asipopigwa kwa ko basi ye ni mshindi!
Na ndio maana mwisho mwa raundi ya kumi alianza kushangilia!

M.weather ni bondia mzuri ila sio kwa mchezo wa leo!

Haki ni ngumu sana kupatikana na ukweli haupendwi siku hizi!

Marekani walikuja na matokeo mfukoni huku wakiomba may asipigwe kwa ko' ili wazidi kuonekana wao ni wababe ktk ndondi!

Sijui lakini..
Mi namuachia mungu tu nw!
 
naungana nawe...jamaa katoa vtasa vy ajabu sn...yan uyo mayweeathr kappewa tuu...kuna mda akawa anakmbia kmbia tuuu uwanjan.... hii sio fair

usipanic kigori..hahahaha
 

Attachments

  • 1430654097403.jpg
    28.7 KB · Views: 349
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…