Kingmairo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 4,936
- 3,542
Kashinda mechi nyingi mno na hajui kupoteza mechi mpaka bado una shaka naye?
Swali ni kashindaje? Politics is everywhere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashinda mechi nyingi mno na hajui kupoteza mechi mpaka bado una shaka naye?
Kwa alieona hili pambano mwanzo mpaka mwisho ni wazi kabisa bila fitna ya kwamba
mayweather kapendelewa kwenye huu usshindi wake wa kimagumashi, pacquiao kamfumua
mayweather kama mtoto kitu kilichofanya mayweather awe kugeuza kona za ulingo maskani
yake, je unauchukuliaje ushindi wa mayweather?
Ndio wwbni.chochote na.ni lolote hujui kitu kapuku ww
Dunia ili simama kuangalia upuuzi. Pambano lililokuwa na tension kubwa kiasikile then lime kuwa kawaida saana. Nilitegemea kuona fantastic punches from both side lakini haikuwa hivyo. Maywether amekuwa akijihami katika round zoote. Yes ameshinda, lakini ushindi wake hauna stimulation yoyote.
My take. Pambano halikustahili kupewa heshima kiasi kile.
Angaliaa super sport 6 hilo pambanoo wanalirudiarudiaaaa mpkaaa Kero...
Ndoutaelewaaaa kashindaa je....
Ilishajulikana mapema!
Wachambuzi wengi walishatia shaka!
Wakamwambia PAC ili apate ushindi basi ni kwa KO tu.
Ila kama ikitokea ni pointi,vyovyote vile lazima apewe MAY WEATHER.
na ndio kilichotokea,
Raundi 6 za kwanza kabigwa MAY waziwazi,
Raundi 6 za pili ni kama zimeenda sare.piga nikupige.
PAC kanyimwa ushindi.
Hata takwimu zilizotolewa na majaji wale watatu,ambao wawili kati yao ni wamarekani
Hazilingani kabisa na uhalisia.
Yan ni kama wame-exchange points.
Wamemuonea sana PAC.
Sielewi yani nini kingine kilichompa Weather ushindi zaidi ya upendeleo wa wazi kabisa.
Na sioni nini kingine kememnyima PAC ushindi zaidi ya ubaguzi na kulazimisha heshima kwa nchi ya Marekani.
Mcheza kwao katunzwa.
Sheria duniani haki kwa mungu!
Good work Man PAC.
unaijua boxing vizuri?
Hili ndilo jibu sahihi kwake muanzisha thread hii na wote wanaomsupportHaya ndiyo mambo ya kudhania timu inayopiga sana chenga ndiyo washindi!!!!! tehetehe...chenga twawala.
Sijapanic ila nimemaindi mkuu!
Hata kama siijui saana kivile,ila ni wazi may kapewa ushindi asiostahili,
Pac hajacheza faul,kampiga makonde mengi,
Jukwaa katawala yeye,
Afu saizi nashangaa takwimu za majaji zinaonesha weather katawala kila idara.
Hata kama cjui kusoma,ila picha nimeiona na nimeielewa.
Labda kupangua ndio kamzidi!
Ila May ndio kapokea makonde mengi! Nashindwa hata kuandika asee ila...
Wame-exchange points naweza nikajikuta nasema hivyo!
Majaji wa kule ni professional na si kama wa kibongobongo wa kuhongwa hela ya chai kwny bahasha za kaki. Kumbukeni hilo washkaji.. Wewe unaemtetea Pac na kusema May kabebwa, unaijua boxing kweli, au unaongea tu kama kiyanga na simbaTumewashuhudia Kina Muhamad Ali,Mike Tyson Leo Hii Mfilipino Aje Asumbue Ulimwengu Hahaha Hawa Huy Mnegro Ambae Ni Hatari Ni Mwenzetu Wa Damu Kabisa,hongera Sana Mayweather Kuna Najua Kuna Waswahili Wanadai Umependelewa"WHEN GOD SAY YES NO BODY CAN STOP"
Relax relax son! Tafuta muda rudia kuangalia pambano vyema na kwa umakini mkubwa utagundua kwa nini TMT kashinda pambano!
naungana nawe...jamaa katoa vtasa vy ajabu sn...yan uyo mayweeathr kappewa tuu...kuna mda akawa anakmbia kmbia tuuu uwanjan.... hii sio fair