Ushindi wa Mayweather utata

Ushindi wa Mayweather utata

Boxing kiutaalamu wa kimchezo na kanuni zinazouongoza mchezo huu Maymoney kashinda, ila kama zile ngumi zetu za tandale kwa tumbo hadi Buguruni kwa Mnyamani basi Pacman kashinda

Ha ha ha ha wasipokuelewa hapa basi tena.
 
Hat hivyo Pambano halikuwa kali kama nilivyotegemea,hata kama kashinda kwa point lakini bado haja prove kuwa yeye ni bingwa kwa 100%...
 
Ngumu kumuelewa mayweather kama huangalii akili anayoitumia ulingoni,punch zake nyingi zinafika na ndio point ila yeye anajilinda mno,kama leo pacquiao karusha ngumi nyingi na kushambulia ila chache mno ndo zimempiha mayweather ila za mayweather nyingi zimetua na ameshinfa round nyingi kuliko pacquiao.



Ukiangalia juu juu utaona kabebwa ila kiutaalam huu ni ushindi wa waza kabida

heee! kwahyo anatumia mbinu za chelsea ya mourinho kupaki basi?
 
Pacquiao Yupo live ESPN right now in a press conference na kwa maneno yake mwenyewe anakiri kuwa amepigwa kihalali sasa sijui mnataka nini.
Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi na si boxing

no. ngapi hiyo channel dstv??
 
Angalieni in slow motion ndio mtajua why Floyd had won
Team Mayweather
48-0

waeleze hao team philipines mchezo wa ngumi hauko ivo.myweather ni bingwa wa kweli
 

Attachments

  • 1430639771667.jpg
    1430639771667.jpg
    45.9 KB · Views: 645
Wabongo bana!
Kwani kupiga chenga nyingi ndo kushinda?
Au mwanafunzi kujaza booklet kibao ndo kupata marks nyingi?
Tatizo mtu hajui sheria hata moja ya boxing ila anajifanya mjuaji kuliko judges!
 
ameshinda kiharari pac amerusha ngumi nyingi zisizo na malengo labda kama mpenzi wa mpira nika kumiliki mpira kwa muda mrefu na kupiga mashuti mengi golini yanakwenda nje ama golikipa anaokoa floyd alichokifanya ni kulinda mashambulizi ya pac na kurudisha jab kila mara na kuzoa point alijua nn anachofanya kwa sababu mwisho wa siku kinachotakiwa ni ushindi pambano lilikuwa very tight
 
Muhammad Ali a.k.a The Greatest ilisema baada ya kumchapa na kumvua ubingwa mbabe mwenye ngumi nzito George Foreman kuwa:

"I was moving around, I know how to judge (my opponent's) punches, I was blocking, I was pulling back (my head)".

Mayweather ni kama alitumia tactics za Ali.
 
Tokea round ya nane wenye kujua ngumi tulishaona kuwa mayweather kashinda, boxing ni points sio kurusha ngumi ovyo ovyo!
 
Tumewashuhudia Kina Muhamad Ali,Mike Tyson Leo Hii Mfilipino Aje Asumbue Ulimwengu Hahaha Hawa Huy Mnegro Ambae Ni Hatari Ni Mwenzetu Wa Damu Kabisa,hongera Sana Mayweather Kuna Najua Kuna Waswahili Wanadai Umependelewa"WHEN GOD SAY YES NO BODY CAN STOP"
 
Ringside punch stats showed Mayweather landing 148 punches of 435, while Pacquiao landed 81 of 429. The volume of punches for Pacquiao was a lot lower than the 600-700 he usually throws in a fight as he tried to measure his aggression against an opponent who was hard to trap.
 
Tumewashuhudia Kina Muhamad Ali,Mike Tyson Leo Hii Mfilipino Aje Asumbue Ulimwengu Hahaha Hawa Huy Mnegro Ambae Ni Hatari Ni Mwenzetu Wa Damu Kabisa,hongera Sana Mayweather Kuna Najua Kuna Waswahili Wanadai Umependelewa"WHEN GOD SAY YES NO BODY CAN STOP"

Huyo unayemuita negro kapendelewa sana leo na hana ngumi zozote anazojua zaidi ya kukumbatiana na kukimbia kimbia ulingoni
 
Back
Top Bottom