Ushindi wa Mwabukusi na Mustakabali wa Tanganyika na Muungano

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Habari za Wakati huu?
Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na mapambano yenu ya kimaisha.

Kwanza nitumie Fursa hii kumpongeza Wakili Msomi Boniface Mwabukusi kwa kufanikiwa kushika kiti cha Urais wa TLS.Nafahamu kwamba kuna ambao wanahofia na kutamani angkuwepo mtu wa kaliba tofauti katika nafasi hiyo.Hata hivyo Niseme tu kwamba umeingia katika nafsi hiyo katika wa kati sahihi.Hata hivyo napenda nitoe angalizo kwako na kwa wote ambao wanasimama nyuma yako hasa wanasheria wenzako na mashabiki wengine wa Sera na misimamo yako.

Kwanza kabisa nikueleze kwamba wewe SIO Rais wa Tanzania wala wa Tanganyika wewe ni Rais wa Chama cha wanasheria wa Tanganyika.Hata hivyo wajibu wako kama Rais wa Tanganyika Law Society unakupa nafasi ya kipekee ya kuwasemea wasiokuwa na wa kuwasemea kama vile Hao Watanganyika.Hivyo basi utakapoamua kuwasemea Zingatia kwamba wewe sio Rais wa Tanganyika wala Tanzania bali ni Rais wa Tanganyika Law Society.

Pili Tunafahamu Misimamo yako ya kisiasa na kiitikadi.Misimamo yako mingi ni maarufu na inakubalika na watu wengi wa kawaida lakini si kweli kwamba inakubalika na watawala au watu wenye maslahi na nchi.Hvyo basi ni muhimu ukazingatia kwamba Misimamo yako hiyo inaweza kuwa mizuri ila ina kasoro zake.

Hivyo basi ninakushauri kwa lolote utakalofanya Jitahidi sana Uwe na Vipaumbele Sahihi,Uepuke Matumizi ya Nguvu ya Umma kabla ya kummalza kabisa nafasi za kisheria. Hata Hivyo katika hatua zote wakumbushe watanzania wote kwamba Kama Haki itakosekana katika vyomba vya haki na sheria basi wajibu wa Mabadiliko utabaki mikononi mwako

Tatu ndugu yangu wakili msomi napenda nikusisitize Jambo,Kama Rais wa TLS Hakikisha kwamba unakuwa Nguvy ya kuunganisha watu ndani ya TLS hasa Mawakili wasomi wenzako na Nje ya TLS nikimaanisha, wanasiasa, wanajamii, wanaharakati n.k.Kama TLS hakikisheni mnakuwa wamoja hata kama mlikuwa na tofauti katika kampeni bado hakikisha kwamba unakuwa Kiunganishi cha wana TLS na Wananchi kwa Ujumla.

Mwisho kabisa nichokoze mada.

Ni Upi Mustakabli wa Muungano wetu kulingana na Msimamo wa Mwabukusi mintarafu Tanganyika na Muungano?Je Maslahi ya Tanganyika Kisheria na Kiaktiba yatapatikana?Je katika Mpya ambayo imekuwa ikIsiginwa mara kwa mara itapatikana katika kipindi hiki?

Natambua kwamba Urais wa TLS wa mwaka mmoja unaweza kuonekana kuwa ni muda mfupi ila nina imani kwamba kwa kuwa Tuna chaguzi mbili ndani ya kipindi kifupi wewe kama Rais wa TLS utashiriki kikamilifu katika kuhakikisha kwamba Sheria na Haki inasimamiwa.

Nikutakie kila heria ktika utekelezaji wa majukumu Yako

Mungu akubariki
 
Mwabukusi kiu yake sio kuleta mabadiliko TLS bali kupata upenyo wa kupambana na Serikali kisiasa kwa kuwa hana nafasi yoyote CDM lakini lengo lake ni kuwa mpinzani kupitia TLS hivyo mawakili wameingia kwenye kumi na nane au mtego wa Mwabukusi hivyo Mwanasheria wa Serikali na DPP wajipange na wasimpuuze huyo mtu atakuja kuleta maafa makubwa ikiwemo kuhatarisha muungano wetu tukufu.
 
So unnafkiri Lengo lake ni Baya?
 
Pili Tunafahamu Misimamo yako ya kisiasa na kiitikadi.Misimamo yako mingi ni maarufu na inakubalika na watu wengi wa kawaida lakini si kweli kwamba inakubalika na watawala au watu wenye maslahi na nchi.Hvyo basi ni muhimu ukazingatia kwamba Misimamo yako hiyo inaweza kuwa mizuri ila ina kasoro zake.Hivyo basi ninakushauri kwa lolote utakalofanya Jitahidi sana Uwe na Vipaumbele Sahihi,Uepuke Matumizi ya Nguvu ya Umma kabla ya kummalza kabisa nafasi za kisheria.Hata Hivyo katika hatua zote wakumbushe watanzania wote kwamba Kama Haki itakosekana katika vyomba vya haki na sheria basi wajibu wa Mabadiliko utabaki mikononi mwako

Tatu ndugu yangu wakili msomi napenda nikusisitize Jambo,Kama Rais wa TLS Hakikisha kwamba unakuwa Nguvy ya kuunganisha watu ndani ya TLS hasa Mawakili wasomi wenzako na Nje ya TLS nikimaanisha ,wanasiasa,wanajamii,wanaharakati n.k.Kama TLS hakikisheni mnakuwa wamoja hata kama mlikuwa na tofauti katika kampeni bado hakikisha kwamba unakuwa Kiunganishi cha wana TLS na Wananchi kwa Ujumla.

Mwisho kabisa nichokoze mada.

Ni Upi Mustakabli wa Muungano wetu kulingana na Msimamo wa Mwabukusi mintarafu Tanganyika na Muungano?Je Maslahi ya Tanganyika Kisheria na Kiaktiba yatapatikana?Je katika Mpya ambayo imekuwa ikIsiginwa mara kwa mara itapatikana katika kipindi hiki?Natambua kwamba Urais wa TLS wa mwaka mmoja unaweza kuonekana kuwa ni muda mfupi ila nina imani kwamba kwa kuwa Tuna chaguzi mbili ndani ya kipindi kifupi wewe kama Rais wa TLS utashiriki kikamilifu katika kuhakikisha kwamba Sheria na Haki inasimamiwa.

Nikutakie kila heria ktika utekelezaji wa majukumu Yako

Mungu akubariki
Kama akifanya vizuri kuliko waliomtangulia kwa kipindi cha huu mwaka mmoja, kwanini wasimchague tena kipindi cha pili, au sheria hairuhusu?
 
"kuna mambo ya kushauri na mambo yakushinikiza" (Mwabukusi, 2024)
 
Kama akifanya vizuri kuliko waliomtangulia kwa kipindi cha huu mwaka mmoja, kwanini wasimchague tena kipindi cha pili, au sheria hairuhusu?
Sasa hivi raisi wa TLS anahudumu kwa kipindi cha miaka mitatu na si mwaka moja kama hapo kabla.
 
Habari za Wakati huu?
Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na mapambano yenu ya kimaisha.

Kwanza nitumie Fursa hii kumpongeza Wakili Msomi Boniface Mwabukusi kwa kufanikiwa kushika kiti cha Urais wa TLS.Nafahamu kwamba kuna ambao wanahofia na kutamani angkuwepo mtu wa kaliba tofauti katika nafasi hiyo.Hata hivyo Niseme tu kwamba umeingia katika nafsi hiyo katika wa kati sahihi.Hata hivyo napenda nitoe angalizo kwako na kwa wote ambao wanasimama nyuma yako hasa wanasheria wenzako na mashabiki wengine wa Sera na misimamo yako.

Kwanza kabisa nikueleze kwamba wewe SIO Rais wa Tanzania wala wa Tanganyika wewe ni Rais wa Chama cha wanasheria wa Tanganyika.Hata hivyo wajibu wako kama Rais wa Tanganyika Law Society unakupa nafasi ya kipekee ya kuwasemea wasiokuwa na wa kuwasemea kama vile Hao Watanganyika.Hivyo basi utakapoamua kuwasemea Zingatia kwamba wewe sio Rais wa Tanganyika wala Tanzania bali ni Rais wa Tanganyika Law Society.

Pili Tunafahamu Misimamo yako ya kisiasa na kiitikadi.Misimamo yako mingi ni maarufu na inakubalika na watu wengi wa kawaida lakini si kweli kwamba inakubalika na watawala au watu wenye maslahi na nchi.Hvyo basi ni muhimu ukazingatia kwamba Misimamo yako hiyo inaweza kuwa mizuri ila ina kasoro zake.

Hivyo basi ninakushauri kwa lolote utakalofanya Jitahidi sana Uwe na Vipaumbele Sahihi,Uepuke Matumizi ya Nguvu ya Umma kabla ya kummalza kabisa nafasi za kisheria. Hata Hivyo katika hatua zote wakumbushe watanzania wote kwamba Kama Haki itakosekana katika vyomba vya haki na sheria basi wajibu wa Mabadiliko utabaki mikononi mwako

Tatu ndugu yangu wakili msomi napenda nikusisitize Jambo,Kama Rais wa TLS Hakikisha kwamba unakuwa Nguvy ya kuunganisha watu ndani ya TLS hasa Mawakili wasomi wenzako na Nje ya TLS nikimaanisha, wanasiasa, wanajamii, wanaharakati n.k.Kama TLS hakikisheni mnakuwa wamoja hata kama mlikuwa na tofauti katika kampeni bado hakikisha kwamba unakuwa Kiunganishi cha wana TLS na Wananchi kwa Ujumla.

Mwisho kabisa nichokoze mada.

Ni Upi Mustakabli wa Muungano wetu kulingana na Msimamo wa Mwabukusi mintarafu Tanganyika na Muungano?Je Maslahi ya Tanganyika Kisheria na Kiaktiba yatapatikana?Je katika Mpya ambayo imekuwa ikIsiginwa mara kwa mara itapatikana katika kipindi hiki?

Natambua kwamba Urais wa TLS wa mwaka mmoja unaweza kuonekana kuwa ni muda mfupi ila nina imani kwamba kwa kuwa Tuna chaguzi mbili ndani ya kipindi kifupi wewe kama Rais wa TLS utashiriki kikamilifu katika kuhakikisha kwamba Sheria na Haki inasimamiwa.

Nikutakie kila heria ktika utekelezaji wa majukumu Yako

Mungu akubariki
poleni sana, naona mlitumia pesa nyingi, figisu nyingi lakini kajumulele mwabukusi kawashinda bila hata kutumia pesa. lazima mjisikie vibaya sana. hao ndio wanasheria, huwa wanatumia akili kufikiri hawatumii masaburi. unawapa pesa ila kwenye kura wanajua wanampigia nani.
 
Relax Boss,Hakuna aliyetumia Pesa Boss.Ni mchakato tu wa Kidemokrasia ambao ulikuwa na Msisimko.Mengine ni mitazamo ya watu...
 
Mwabukusi kiu yake sio kuleta mabadiliko TLS bali kupata upenyo wa kupambana na Serikali kisiasa kwa kuwa hana nafasi yoyote CDM lakini lengo lake ni kuwa mpinzani kupitia TLS hivyo mawakili wameingia kwenye kumi na nane au mtego wa Mwabukusi hivyo Mwanasheria wa Serikali na DPP wajipange na wasimpuuze huyo mtu atakuja kuleta maafa makubwa ikiwemo kuhatarisha muungano wetu tukufu.
Pole yako
 
Sio muungano tukufu ni muungano nyonyaji kwa Tanganyika.

Apiganie kuwaamsha watanganyika waliolala usingizi kama huyu mleta mada ili wazinduke na kudai Serikali ya Tanganyika
 
Back
Top Bottom