Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
That is immaterial.Sibishi ila Kenyatta kachaguliwa kwa simple majority Ya ethinic group chache kuliko raila odinga kenya kuna makabila zaidi Ya 40 odinga kapata kura kwenye asilimia kubwa Ya hayo makabila tofauti na Kenyatta .Kura za odinga zina sura Ya kitaifa kuliko za Kenyatta
Ndiyo habari za "kufungwa tumefungwa lakini chenga tumewala".
Huko kwenye sura ya kitaifa angalia senators na givernors. Usiangalie nani kampigia kura rais wapi. Kura moja ya Mkenya ina uzito sawa na kura nyingine ya Mkenya bila kujali imetoka wapi.
Hayo mambo ya kuangalia kura zimetokea wapi yamewatokea puani Wamarekani kwa kufanya wakazi wa states zenye watu wachache kura moja yao iwe na uzito mkubwa kuliko states zenye watu wengi. Matokeo yake states hizo ndizo zina uzito mkubwa kuchagua rais. That is not fair.
Sent from my Kimulimuli