Ushindi wa Raila una sura ya kitaifa kuliko wa Kenyatta

Ushindi wa Raila una sura ya kitaifa kuliko wa Kenyatta

Mimi umeniuma sababu kura za uraisi za alyeshinda ni za maeneo machache ya nchi. Kitaifa kwa umoja wa kitaifa sio afya sana.naongelea actual votes za uraisi sio za magavana nk

Tumia akili na wacha kueneza uongo.
Uhuru alishinda Raila katika county 26.
Raila alishinda Uhuru katika county 21.

Uhuru alifikisha 25% of votes katika county 35.
Raila alifikisha 25% of votes katika county 29.
 
Kwani hio nimekupa ni ya nini?
Nikupa ya urais, na nikakuongezea ya magavana na masenator.

Map ya kwanza inakufahamisha kwamba Uhuru aliongoza katika county 26, ilhali Raila aliongoza katika county 21.

Pia, Uhuru alipata 25% of all votes katika county 35, ilhali Raila alipata 25% of all votes katika county 29 pekee.

In short, Uhuru alipata kura mingi kutoka kwa maeneo mengi na mbali mbali kuliko Raila.
Angalia hizo map venye Uhuru na chama chake walivyo paint nchi red.
Mmmmm siongelei kushinda kwa votes tu kwenye eneo naongelea performance Ya kura kila area bila kujali raila kashinda au la. Unaona anakubalika kila kona. Kuna majimbo Kenyatta kashinda lakini ni makubwa yana counties nyingi ila yana watu WA ethinic group moja. Tofauti na odinga ambaye kashinda counties nyingi zenye ethnicity tofauti ndio maana nasema ukienda kitaifa Raila anakubalika na ethinicity nyingi kuliko Kenyatta
 
Hajatangazwa mshindi lakini ukifanya analysis ya kura kitaifa Raila anakubalika sehemu nyingi Kenya kuliko Kenyatta.
Kwa hiyo..?
Hata Hashim Rungwe mbona anakubalika hadi kolomije..!?
 
Hii ndio shida ya kuingilia usiyoyafahamu. Na kama hujui uliza.

Uhuru Kenyatta - Jubilee/Jubilee affiliated parties (Governors) - 30
Raila Odinga - Nasa/Nasa affiliated parties (Governors) - 17

Uhuru Kenyatta - Jubilee/Jubilee affiliated parties (Senators) - 26
Raila Odinga - Nasa/Nasa affiliated parties (Senators) - 21

Uhuru Kenyatta - Jubilee/Jubilee affiliated parties (MPs) - 173
Raila Odinga - Nasa/Nasa affiliated parties (MPs) - 114

Uhuru Kenyatta - Jubilee/Jubilee affiliated parties (Women Rep) - 31
Raila Odinga - Nasa/Nasa affiliated parties (Women Rep) - 16

Uhuru Kenyatta - Counties with 25% - 35
Raila Odinga - Counties with 25% - 29

Uhuru/Ruto/Jubilee literally painted the country red.

View attachment 563983
View attachment 563984 View attachment 563985 View attachment 563986 View attachment 563987
Umeua upuuzi wote wa huyu Malaya wa CCM big up
 
Nimepitia matokeo yote Ya uchaguzi kenya. Ukiyatazama Raila karibu maeneo yote ya Kenya kapata kura za kutosha kasoro machache sana. Kenyatta kura zake zimerundikana maeneo machache ya nchi hazijasambaa Kama Za odinga. kitaifa naweza sema odinga Ana watu wanaomkubali wengi kila upande wa Kenya kasoro maeneo machache. Ushahidi matokeo ya tume ya uchaguzi. Odinga kajitwalia kura za kutosha karibu kenya nzima
Kenya hawana "electoral college" kama Marekani ambapo mtu anaweza kushindwa popular vote lakini akashinda urais kama alivyofanya Donald Trump.

Rais wao anachaguliwa kwa simple majority.

Kwa hiyo Uhuru hahitaji kukubalika sehemu nyingi ili kuwa rais, anahitaji kupata kura za watu wengi.

Na kukubalika na watu wa sehemu nyingi hakuna maana anakubalika kitaifa.Inawezekana anakubalika na watu wa kabila lake waliotapakaa sehemu tofauti.

Kenyatta kashinda.Kubalini tu.

Msilete habari za "kufungwa tumefungwa lakini chenga tumewala".

Mpira mshindi ni anayefunga magoli mengi. Si anayepiga chenga nyingi.
 
Itakuwa vizuri it is Just a caution. My advice kama wakiunda serikali ya umoja wa kitaifa it will be better. Kenyatta aliangalie hilo

Naona mmepewa kazi ya kuhakikisha RAO anapata nafasi kwenye serikali ya Kenya.
 
Kenya hawana "electoral college" kama Marekani ambapo mtu anaweza kushindwa popular vote lakini akashinda urais kama alivyofanya Donald Trump.

Rais wao anachaguliwa kwa simple majority.

Kwa hiyo Uhuru hahitaji kukubalika sehemu nyingi ili kuwa rais, anahitaji kupata kura za watu wengi.

Na kukubalika na watu wa sehemu nyingi hakuna maana anakubalika kitaifa.Inawezekana anakubalika na watu wa kabila lake waliotapakaa sehemu tofauti.

Kenyatta kashinda.Kubalini tu.

Msilete habari za "kufungwa tumefungwa lakini chenga tumewala".

Mpira mshindi ni anayefunga magoli mengi. Si anayepiga chenga nyingi.
Sibishi ila Kenyatta kachaguliwa kwa simple majority Ya ethinic group chache kuliko raila odinga kenya kuna makabila zaidi Ya 40 odinga kapata kura kwenye asilimia kubwa Ya hayo makabila tofauti na Kenyatta .Kura za odinga zina sura Ya kitaifa kuliko za Kenyatta
 
Nimepitia matokeo yote Ya uchaguzi kenya. Ukiyatazama Raila karibu maeneo yote ya Kenya kapata kura za kutosha kasoro machache sana. Kenyatta kura zake zimerundikana maeneo machache ya nchi hazijasambaa Kama Za odinga. kitaifa naweza sema odinga Ana watu wanaomkubali wengi kila upande wa Kenya kasoro maeneo machache. Ushahidi matokeo ya tume ya uchaguzi. Odinga kajitwalia kura za kutosha karibu kenya nzima
Nakubaliana na wewe. Hata mimi nilipokuwa nasikiliza kuna maeneo Kenyata amepata aslimi chini ya moja lakini tofauti na Odinga kila eneo amepata kura za kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe. Hata mimi nilipokuwa nasikiliza kuna maeneo Kenyata amepata aslimi chini ya moja lakini tofauti na Odinga kila eneo amepata kura za kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Raila odinga naweza sema alijipanga kikenya zaidi kuwa mgombea wa wakenya wote wakati Kenyatta alijikita tu kwenye numbers kuwa wapi atapata Kura nyingi alilenga kushinda kura tu bila kujali kuwa kura zinatoka ethinic group moja au la? Kwa National voting strategy raila odinga was better than Kenyatta
 
Naona mmepewa kazi ya kuhakikisha RAO anapata nafasi kwenye serikali ya Kenya.
Raila hajashinda maeneo mengine eti kuna jaluo wengi uongo nikupe mfano Kajiado county huwezi kuta jaluo kule Lakini Raila kapata kura hadi basi wakati ni eneo la wamasai mwanzo mwisho
 
Naona mmepewa kazi ya kuhakikisha RAO anapata nafasi kwenye serikali ya Kenya.
Nikweleze wakenya wengi hawajielewi Obama ni jaluo ndugu yake Raila kipindi cha raisi Obama wangempa raila uraisi wa Kenya Obama angeweza futa hata viza za wakenya kuingia marekani na wangelamba pesa za wamarekani kila kona. Wakiandika mradi hata hewa wangepata pesa kwa wamarekani lakini kwa kuwa hawajielewi wakampa Kenyatta mtuhumiwa wa the hague!!!! Anyway ushauri wangu waunde serikali ya kitaifa odinga aingie ndani wakitaka Mambo yao yanyooke ni ushauri WA bure they can take it or leave it after all they have not paid me consultation fee or anything.I am just giving them advice for free
 
Nikweleze wakenya wengi hawajielewi Obama ni jaluo ndugu yake Raila kipindi cha raisi Obama wangempa raila uraisi wa Kenya Obama angeweza futa hata viza za wakenya kuingia marekani na wangelamba pesa za wamarekani kila kona. Wakiandika mradi hata hewa wangepata pesa kwa wamarekani lakini kwa kuwa hawajielewi wakampa Kenyatta mtuhumiwa wa the hague!!!! Anyway ushauri wangu waunde serikali ya kitaifa odinga aingie ndani wakitaka Mambo yao yanyooke ni ushauri WA bure they can take it or leave it after all they have not paid me consultation fee or anything

Wameamua kumchagua Rais wanaemtaka sasa. Kenyata anawatosha na atazidi kuipeleka Kenya mbele.
 
Wameamua kumchagua Rais wanaemtaka sasa. Kenyata anawatosha na atazidi kuipeleka Kenya mbele.
I wish them all the best comment zangu humu ni Just my comment the way I think. I have a right to think anything
 
Kuna wakati madikteta Wa Ulaya mashariki na Hata Africa kaskazini waliondolewa kwa nguvu ya umma nadhani Hata sub Sahara Africa need the same

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajatangazwa mshindi lakini ukifanya analysis ya kura kitaifa Raila anakubalika sehemu nyingi Kenya kuliko Kenyatta.
Kwa Kenya ilo ni jambo la kawaida sanaa maan ina siasa za kikabila hivo ukiangalia vyama vya NASA vinaongozwa na Mudavadi,raila,kalonzo musyoka yaan unakuta kunamchanganyo wa makabila hapo...Tofaut na uhuru ambae ana Ruto tena kabila lake ni dogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom