Ushindi wa Raila una sura ya kitaifa kuliko wa Kenyatta

That is immaterial.

Ndiyo habari za "kufungwa tumefungwa lakini chenga tumewala".

Huko kwenye sura ya kitaifa angalia senators na givernors. Usiangalie nani kampigia kura rais wapi. Kura moja ya Mkenya ina uzito sawa na kura nyingine ya Mkenya bila kujali imetoka wapi.

Hayo mambo ya kuangalia kura zimetokea wapi yamewatokea puani Wamarekani kwa kufanya wakazi wa states zenye watu wachache kura moja yao iwe na uzito mkubwa kuliko states zenye watu wengi. Matokeo yake states hizo ndizo zina uzito mkubwa kuchagua rais. That is not fair.

Sent from my Kimulimuli
 
Mkuu tulio kuelewa tumeelewa huyo hata hajui unachokisema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba Uhuru kapata kura nyingibsehemu fulani haimaanishi alilenga huko tu. Inabidi uwe na ushahidi zaidi ya matokeo ya kura tu ili ukisema hivyo iweze kuaminika.

Mimi nilijua Uhuru atashinda.

Raila Odinga hata kuongea tu hawezi.

Anaongea kama anasinzia. Ndiyo mtu wa kupewa nchi huyo?

Halafu Raila mdingi kweli. Kamzidi Uhuru miaka 18. Bado kidogo angeweza kuwa baba yake.

Sent from my Kimulimuli
 
Raila aliponzwa kwa kauli zake kuiga sera za jpm. Watumishi wa uma Kenya wasingekubaliana wakati wanaona wenzao wa tz wanakaangwa na kupoteza haki zao hivi hivi. Wameona heri Uhuru wanaemjua vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamaanisha ushindi wa Raila wa kutoa kafara mioyo wa wafuasi wake au? Kwa hilo pekee ndo Raila huwa anashinda bila upinzani!
 
Shukrani mkuu.mimi naongelea kura Za uraisi

Tatizo ni elimu au nini?

Kenya ni lazima upate at least 25% kwa kaunti 24 ili uwe Rais:

Uhuru Kenyatta - Counties with 25% - 35
Raila Odinga - Counties with 25% - 29

Kenyatta alishinda Kaunti 26
Raila alishinda kaunti 21

Picha umeonyeshwa hapa:
 
Acha uvivu ingia website ya tume unataka kutafuniwa kila kitu? Jamii forums hapakufai nenda majukwaa Ya udaku
Mkuu hapa sio mahali pa Ndiooo kama wale wabunge wapenda kushangilia, habari inatakiwa iwe na facts.
Sasa ulikuwa na maana gani kuleta habari nusu, si bora usingeileta kabisa maana unalazimisha tufanye jambo ambalo unalitaka mwenyewe.
 
Itawezekana vipi anukubalika zaidi alafu akashindwa mara nne ,amepoteza maGavana zaidi na akashindwa kwa 10% zaidi ya alivyoshindwa 2013? Nyie watu mnatafuta tu vijisababu za kufutia machozi.
 
Unaweza sema pia kura za Odinga zina sura potovu ya umaskini na watu wenye hisia za "serikali saidia" I can tell you for a fact watu kama wale hawawezi kujenga inchi with that mindset.There are times when you have to disagree with watu wapotovu hata kama ndio wao majority.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…