Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Uchambuzi
Sisi kama wachambuzi tumefurahishwa na ushindi mkubwa wa timu ya Simba dhidi ya Dodoma jiji Kwani ushindi huu utaleta balance kubwa kwenye ligi sababu confidence ya Makolo itakuwa restored Kwani hapo kabla
Kwa zandaan kabsa inasemekana Wanasimba walikuwa wanatetemeka Kila siku ya derby ikikaribia.... But baada ya hiyo siku kufika makolo wakatafuta sababu ya uongo wakakimbia[emoji23][emoji23]
NB Simba watapata confidence kubwa ya kucheza na Yanga Baada ya kushinda heavily Kwa Dodoma jiji....lakin hawataamini
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app