Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #21
Kwasababu sababu za kuhairishwa mechi hazikuwa mashikoKwanini Yanga wanaogopa kucheza mechi itakayopangwa?kama wana kikosi bora kwa nini wanagoma? Uzuri bodi hawatoi point 3 za dezo, watacheza tu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app