Ushindi wa Simba dhidi ya Dodoma jiji utawapa confidence ya kucheza na Yanga

Yanga hatutacheza mechi tofauti na ile ya tar 8 march huo ndo msimamo wetu hatuna muda wa kucheza na Simba tena
 
Uchambuzi
Sisi kama wachambuzi tumefurahishwa na ushindi mkubwa wa timu ya Simba dhidi ya Dodoma jiji Kwani ushindi huu utaleta balance kubwa kwenye ligi sababu confidence ya Makolo itakuwa restored Kwani hapo kabla

Kwa zandaan kabsa inasemekana Wanasimba walikuwa wanatetemeka Kila siku ya derby ikikaribia.... But baada ya hiyo siku kufika makolo wakatafuta sababu ya uongo wakakimbia[emoji23][emoji23]

NB Simba watapata confidence kubwa ya kucheza na Yanga Baada ya kushinda heavily Kwa Dodoma jiji....lakin hawataamini View attachment 3270853

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hao mbuzi na hivyo vizee ndiyo kamati ya ufundi?
Afrika bado tuna safari ndefu sana.
Ushindi wao wala hauwapi confidence bali hivyo vibabu vichawi na hao mbuzi 'weupe' ndiyo vinavyowapa confidence.
 
Zikiwa za mashiko au sio wachezaji wanapoteza ubora wao?Wale mabaunsa mlipeleka wa kazi gani kama si kulinda matunguli mliofukia yanayowapa jeuri ya kushinda?
Mabaunsa walikuwa wastaarabu ...waliwaambia wachezaji wanaruhusiwa kuingia ......but wazee na mbuzi ....stop

Makolo wakagoma kuacha mbuzi na wazee nje

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Uchambuzi
Sisi kama wachambuzi tumefurahishwa na ushindi mkubwa wa timu ya Simba dhidi ya Dodoma jiji Kwani ushindi huu utaleta balance kubwa kwenye ligi sababu confidence ya Makolo itakuwa restored Kwani hapo kabla

Kwa zandaan kabsa inasemekana Wanasimba walikuwa wanatetemeka Kila siku ya derby ikikaribia.... But baada ya hiyo siku kufika makolo wakatafuta sababu ya uongo wakakimbia[emoji23][emoji23]

NB Simba watapata confidence kubwa ya kucheza na Yanga Baada ya kushinda heavily Kwa Dodoma jiji....lakin hawataamini View attachment 3270853

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Aiseee
1741965213926.jpg
 
Mabaunsa walikuwa wastaarabu ...waliwaambia wachezaji wanaruhusiwa kuingia ......but wazee na mbuzi ....stop

Makolo wakagoma kuacha mbuzi na wazee nje

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwa kanuni gani mabaunsa wa Yanga walienda uwanjani? hiyo ndiyo sababu yenye mashiko ya Simba kuandika barua moja tu na Utopolo kuandika barua zaidi ya 10 za kutapatapa kulilia points 3 za dezo ambazo wanajua hawatozipata.
 
Kwanini Yanga wanaogopa kucheza mechi itakayopangwa?kama wana kikosi bora kwa nini wanagoma? Uzuri bodi hawatoi point 3 za dezo, watacheza tu
Ni kukumbushe ya Derby ya Cairo wale wahana kona kona,aliyekimbia mechi naye kakimbizwa.
 
Kwa kanuni gani mabaunsa wa Yanga walienda uwanjani? hiyo ndiyo sababu yenye mashiko ya Simba kuandika barua moja tu na Utopolo kuandika barua zaidi ya 10 za kutapatapa kulilia points 3 za dezo ambazo wanajua hawatozipata.
Yanga kuandika barua nyingi sababu Ina management kubwa yenye decisive leaders

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hiyo management ndio inashindwa kila siku kesi kule CAS,hata kichaa kama Morrison anaiburuza hiyo management kama anavyotaka
Sema tu hamuijui system .....Ile kesi Yanga alishinda ....but akaamua afunike kombe ....coz Simba wangepokonywa points zote ... Morrison alizocheza

Hence makolo wangekuwa huko championship....

Yanga ni watu wa busara sana

Back
Top Bottom