Ushindi wa Simba dhidi ya Dodoma jiji utawapa confidence ya kucheza na Yanga

Ushindi wa Simba dhidi ya Dodoma jiji utawapa confidence ya kucheza na Yanga

Mpira ni pesa. Watu wawekeze pesa zao then waachie iliwafungwe kwa ajili ya kurudisha morali ya timu pizani mkuu. laban ukosiriazi kweli.
 
Sasa vipi chura anayeogopa mbuzi na chura siyeogopa simba?
Chura anayeogopa Simba keshatangaza nia kwamba hatacheza mechi namba 184..

Nadhani utagundua chura anayemuogopa mbuzi huwa anamkoromea tu mbuzi akienda kunywa maji palipo na vikao vya ukoo wa 🐸🐸.

Ila sasaasa chura anayemuogopa Simba hutoa matamko 80 kwamba...
1. Hatacheza na Simba..

2. Ataishitaki Simba CAS

3 Alipwe fidia kwa hasara aliyoipata..

Nk
 
Sema tu hamuijui system .....Ile kesi Yanga alishinda ....but akaamua afunike kombe ....coz Simba wangepokonywa points zote ... Morrison alizocheza

Hence makolo wangekuwa huko championship....

Yanga ni watu wa busara sana

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wewe ndio hujui chochote zaidi ya ushabiki, mwisho utasema na ya Kagoma mlishinda pamoja na kutembea na mkataba wake,kila siku huko CAS mnashindwa kesi
 
Kama kwenye derby kanjanjq wamejaa kwanini wasitake kanuni zibadilike?
Sasa ndio wagome kabla kanuni hazijabadilishwa?watakuwa kama Utopolo wanaodai point 3 za dezo za mchezo ulioahirishwa.
 
Sasa ndio wagome kabla kanuni hazijabadilishwa?watakuwa kama Utopolo wanaodai point 3 za dezo za mchezo ulioahirishwa.
sijui kwao kwa kuwa hainihusu ila kwetu kanuni zii wazi ila ukanjanja wetu,na mazoea ndio shida,hapa tungeshakiwa tumemaliza kelele za nini kilitokea kwenye derby ya k/koo Dar
 
Back
Top Bottom