Ngoja wajichanganye[emoji23][emoji23]Ushindi wa bahasha na kutegemea waamuzi, ni tofauti sana na ushindi wa kupambana uwanjani.
Zote zinashiriki ligi kuuKiwango cha Dodoma Jiji VS Yanga kikoje tuanzie hapo
HahaOghopa ni khatare wajidanganye WALE KONO LA NYANI.
Na zote hujipanga namna ya kukabiliana na mpinzani wake kwa kujua nguvu zake na mapungufu yake
Yaaah mkuu....ila magnitude ya upambanaji ni tofautiNa zote hujipanga namna ya kukabiliana na mpinzani wake kwa kujua nguvu zake na mapungufu yake
Intensity and individual skills of playersYaaah mkuu....ila magnitude ya upambanaji ni tofauti
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Not the sameIntensity and individual skills of players
Tunataka point zetu tatu na goli zetu tatu,hata kama mtakuja na fisi ni nyie tu.Siku ya kucheza mechi tulifika uwanjani ila nyie mlituma mbuzi wa wachungaji wao wazee.Uchambuzi
Sisi kama wachambuzi tumefurahishwa na ushindi mkubwa wa timu ya Simba dhidi ya Dodoma jiji Kwani ushindi huu utaleta balance kubwa kwenye ligi sababu confidence ya Makolo itakuwa restored Kwani hapo kabla
Kwa zandaan kabsa inasemekana Wanasimba walikuwa wanatetemeka Kila siku ya derby ikikaribia.... But baada ya hiyo siku kufika makolo wakatafuta sababu ya uongo wakakimbia[emoji23][emoji23]
NB Simba watapata confidence kubwa ya kucheza na Yanga Baada ya kushinda heavily Kwa Dodoma jiji....lakin hawataamini View attachment 3270853
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Dodoma na Singida ni matawi ya Utopolo,usitegemee wamiliki wa Yanga Mavunde na Mwigulu wakapokea bahasha ya Simba,ndio maana kwenye mechi dhidi yenu waliwapangia vikosi vya pili na mkafunga magoli ya mkono piaUshindi wa bahasha na kutegemea waamuzi, ni tofauti sana na ushindi wa kupambana uwanjani.
True
Hatari Mkuu[emoji23][emoji23]Tunataka point zetu tatu na goli zetu tatu,hata kama mtakuja na fisi ni nyie tu.Siku ya kucheza mechi tulifika uwanjani ila nyie mlituma mbuzi wa wachungaji wao wazee.
Simba ndiye alikimbia mechiYanga wenyewe wameshaogopa mechi,wanadai point 3 za dezo
Kwanini Yanga wanaogopa kucheza mechi itakayopangwa?kama wana kikosi bora kwa nini wanagoma? Uzuri bodi hawatoi point 3 za dezo, watacheza tu