Ushindi wa Simba sio kawaida, kuna kitu

sidhani kama ni uwezo,maana ni simba hii hii kwenye mechi za ligi ama hu droo au kushinda kwa taabu,sasa huo uwezo huwa uko wapi?
Unaipimia timu kwenye mechi za kimataifa kwa kutumia ligi?

Kuna timu huko shirikisho wanaburuza mkia kwenye ligi kuu Afrika kusini (MARUMO) lakini wanaongoza kundi lao ambalo ndani yake yumo USM Alger.

Endelea kukariri hivyo hivyo
 
sidhani kama ni uwezo,maana ni simba hii hii kwenye mechi za ligi ama hu droo au kushinda kwa taabu,sasa huo uwezo huwa uko wapi?
Unajisahaulisha ya Real Madrid mechi za La Liga na linapokuja swala la UEFA?!
 
Horoya walizidiwa tu...Nothing else.Simba walikua bora sana jana,mpira ni mchezo 2a wazi.
 
Sijajua ni kitu gani, lakini ukweli ni kuwa kuna kitu sio cha kawaida ndio kimefanya simba kushinda magoli 7.
Umecheki game dakika 90?

Kama kuna kitu basi ni ubovu wa kipa no 2 na 3 wa Horoya na kiwango cha juu sana cha Chama, Baleke, na Putin
 
MIKIMBIO FC kumbukeni MONASTIR US wanawasubiria.
 
Msijisahaulishe.

Mbona Yanga iliwahi kuifunga Zalan 7-0 kwenye round ya awali msimu huu huu!.

Na Mayele alipiga hat trick murua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…