Unaipimia timu kwenye mechi za kimataifa kwa kutumia ligi?sidhani kama ni uwezo,maana ni simba hii hii kwenye mechi za ligi ama hu droo au kushinda kwa taabu,sasa huo uwezo huwa uko wapi?
Kuna timu huko shirikisho wanaburuza mkia kwenye ligi kuu Afrika kusini (MARUMO) lakini wanaongoza kundi lao ambalo ndani yake yumo USM Alger.
Endelea kukariri hivyo hivyo