Ushindi wa Trump ni pigo kubwa kwa CCM

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
CCM walikua wakimpigia kampeni Kamala

Walijua kabisa akishinda watapata nguvu ya kuaminisha umma 2025.

Kwasababu ya historia ya kamala alikua makamu kama mama yao.

Kwahyo nao wangetembelea huo upepo kwamba US imewezekana basi na huku 255 inawezekana

Listen Guys, tunapaswa tumkatae huyu bibi kwa nguvu zote 2025 ni vyema kutumia hata turufu ya utanganyika ikiwezekana kumkataa, hafai kabisa narudia tena kuwa hafai hata kuongoza kitongoji.

Tunapaswa kuunganisha nguvu zetu zote kumkataa huyu mtu iwe jua au mvua haijalishi upo mrengo gani tumkatae huyu mtu kwa nguvu zote.
 
Kuna kichaa mmoja alianzisha thread ambayo inasema ziara ya mama Yao kule marekani eti imewapa hamasa wa marekani kumchagua kamala.Hawa CCM sijui huwa wanawaza Nini kuandika Hivyo vichekesho vyao!
 
HATUNA CHA KUPOTEZA KUTOKANA NA MATOKEO YA MAREANI MAMA TENA 2025
 
Unajisumbua roho yako bure kabisa.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    420.8 KB · Views: 3
Pigo kubwa sana tena balaa. Hahaha sijui itakuwaje, maana na haya yanayoendelea
 
Kuna kichaa mmoja alianzisha thread ambayo inasema ziara ya mama Yao kule marekani eti imewapa hamasa wa marekani kumchagua kamala.Hawa CCM sijui huwa wanawaza Nini kuandika Hivyo vichekesho vyao!
Bangi
 
Trump ni mkweli na atatunyoosha Waafrika. Utakumbuka alivyosema kipindi kile " Africans Country are sh......le" wako radhi wakope hela wanunulie silaha kwajili ya kuwaangamiza ndugu zao kisa madaraka. Badala ya kukopa kwa maendeleo ya nchi zao.

Sasa ccm hapo watafurahia kweli ni huzuni tena kubwa kwao.
 
Nilitegemea ujadili unafiki wa Wamarekani ktk gender equality n gender and development. Unajua women's suffrage movement ilianza huko miaka ya 1800 kudai haki ya wanawake kupiga kura?

Unajua Susan B. Anthony alifanikisha hilo hadi mabadiliko ya 19 ya Katiba ya Marekani, wakawaruhusu wanawake. Sasa leo miaka mingapi bado wanambagua mwanamke. Somo: usiwaige Wamarekani ni wanafiki wa dunia.

NB: CCM iko busy na uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Imejipanga, imesimamisha wagombea kote na itashinda kwa kishindo kama Republican. Lissu kalipua bomu upande wa pili wa upinzani hauna resources hadi wagombea kuwapata shida. Hatuna upinzani wa kuichallenge CCM. Huu ndiyo msiba mkubwa achana na ya Marekani.🙏🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…