Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mgombea urasi wa CCM ni kipenzi cha wananchi wote Tanzania,CCM walikua wakimpigia kampeni Kamala
Walijua kabisa akishinda watapata nguvu ya kuaminisha umma 2025.
Kwasababu ya historia ya kamala alikua makamu kama mama yao.
Kwahyo nao wangetembelea huo upepo kwamba US imewezekana basi na huku 255 inawezekana
Listen Guys, tunapaswa tumkatae huyu bibi kwa nguvu zote 2025 ni vyema kutumia hata turufu ya utanganyika ikiwezekana kumkataa, hafai kabisa narudia tena kuwa hafai hata kuongoza kitongoji.
Tunapaswa kuunganisha nguvu zetu zote kumkataa huyu mtu iwe jua au mvua haijalishi upo mrengo gani tumkatae huyu mtu kwa nguvu zote.
🤣🤣🤣🤣 Hata angefanikiwa huyo mama bado tusingekosa la kusema ...sisi ndiyo watu mkuu🤔Nyie hata alivyoingia biden mlisema hivi hivi mbona.
Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable kuna mtu anawachokoza huku.CCM walikuwa wanaomba mno Kamala ashinde .Sababu Kamala ni mwanamke basi CCM wangetumia ushindi wa Kamala ili kumboost mama yao.
Kamala chali =Samia Hoi.
Huo ndo ukweli.Wangesema Taifa kubwa limechagua mwanamke .Why not Tanzania ?Sema USA hawaangalii gender .Wanaangalia uwezo.
Huyo Lucas hapatikani kabisa tangu asubuhi. Huende hata akatoweka mazima JF. Pole sana.
Daaa ko mwanangu uliataka nako kuwe na hekheka kama huko +255Mimi huo uchaguzi wao hata siuelewi uchaguzi gani hamna hata heka heka za kuiba maboksi ya kura
Wewe ni Kobaz unayejitambua...hongeraCCM walikua wakimpigia kampeni Kamala
Walijua kabisa akishinda watapata nguvu ya kuaminisha umma 2025.
Kwasababu ya historia ya kamala alikua makamu kama mama yao.
Kwahyo nao wangetembelea huo upepo kwamba US imewezekana basi na huku 255 inawezekana
Listen Guys, tunapaswa tumkatae huyu bibi kwa nguvu zote 2025 ni vyema kutumia hata turufu ya utanganyika ikiwezekana kumkataa, hafai kabisa narudia tena kuwa hafai hata kuongoza kitongoji.
Tunapaswa kuunganisha nguvu zetu zote kumkataa huyu mtu iwe jua au mvua haijalishi upo mrengo gani tumkatae huyu mtu kwa nguvu zote.
Sisi ndio tumezoea hivyoDaaa ko mwanangu uliataka nako kuwe na hekheka kama huko +255
Kule ni US Baba Siyo BonyokwaSisi ndio tumezoea hivyo
USA ni bonge la dude hakuna asiyejua huwezi kumpa mmama,Kuna jamaa alishasema marekani hawana upumbavu huo wa kumpa demu madaraka🤣
How Trump wa USA ashinde harafu iwe pigo Kwa CCM? Acheni ujinga basi nyieCCM walikua wakimpigia kampeni Kamala
Walijua kabisa akishinda watapata nguvu ya kuaminisha umma 2025.
Kwasababu ya historia ya kamala alikua makamu kama mama yao.
Kwahyo nao wangetembelea huo upepo kwamba US imewezekana basi na huku 255 inawezekana
Listen Guys, tunapaswa tumkatae huyu bibi kwa nguvu zote 2025 ni vyema kutumia hata turufu ya utanganyika ikiwezekana kumkataa, hafai kabisa narudia tena kuwa hafai hata kuongoza kitongoji.
Tunapaswa kuunganisha nguvu zetu zote kumkataa huyu mtu iwe jua au mvua haijalishi upo mrengo gani tumkatae huyu mtu kwa nguvu zote.
mgombea urasi wa CCM ni kipenzi cha wananchi wote Tanzania,
Powerful Dr. Samia Suluhu Hassan hahitaji msaada wa western or eastern countries kushinda uchaguzi wa Tanzania kwa kishindo kikuu. Watanzani wanatosha.
labda huyo muungwana mlalamikaji, ombaomba la kimataifa na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndiyo anaweza kubabaika na uchaguzi wa marikani
CCM mwakani kama Republican tu mwaka huu tena ushindi unaweza ukaanzia 90% kwenda juuCCM walikuwa wanaomba mno Kamala ashinde .Sababu Kamala ni mwanamke basi CCM wangetumia ushindi wa Kamala ili kumboost mama yao.
Kamala chali =Samia Hoi.
Tumkatae kwa sababu zipi ?CCM walikua wakimpigia kampeni Kamala