Ushindi wa Trump ni pigo kubwa kwa CCM

Kwa vijana Hawa wanaoletwa kutoka CCP haki lazima katapita tu.
 
Mimi huo uchaguzi wao hata siuelewi uchaguzi gani hamna hata heka heka za kuiba maboksi ya kura
 
Sio pigo bali uchaguzi wa Marekani umeisaidia CCM kufanya uteuzi sahihi wa Mwanaume kugombea Urais 2025
 
kimsboy sikia hii, kisha ufute huu uzi

Your browser is not able to display this video.
 
Kaunganishe nguvu za nini yako labda mtafanikiwa, lakini ujue tu 2025 CCM na Mama Samia ushindi ni wa kishindo!
 
Sio pigo bali uchaguzi wa Marekani umeisaidia CCM kufanya uteuzi sahihi wa Mwanaume kugombea Urais 2025
Mkuu pole pole na mdomo wako. CCM walishaaminishwa wakati ule wa Tanzagiza kuwa kila anaekupinga ni adui. Ukishindwa kumshawishi kwa vyeo na fedha aungane na wewe basi atengenezewe zengwe fitna au abambikiwe kesi aende gerezani. Au aangamizwe kwa risasi au uchawi.

Hivyo yeyote atakaenyanyua pua kwa kutaka kupingana na Bi Chura awe tayari kwa niliyoyataja hapo juu. Na hapo ndipo tunakosubiria ccm ifikie. Lazima makundi yaumizane tena kisawasawa. Wapinzani tupate mserereko.

Mh Lema aliwahi kusema wakishatumaliza sisi wataanzana na ninyi. Kila anaempinga au kumkosoa mwenye madaraka yeye ni adui hatakiwi hata kuishi. National anguko kubwa la ccm kutokana na makundi yanayotaka madaraka hata kwa kuangamizana.
 
Walijua Kamala atampa sapoti 2025.

Imekula kwao
 
Watanzania wamepata sababu nyingine murua ta kutochagua Mwanamke Urais.
 
Kwasababu ya historia ya kamala alikua makamu kama mama yao.

Kwahyo nao wangetembelea huo upepo kwamba US imewezekana basi na huku 255 inawezekana🥍📍🔨
 
Siku hizi kila kitu simu..

Masuala ya Benki - Simu

Ulipaji Kodi - Simu
Kufuatilia Uhalifu - Simu
Kufuatilia Mahusiano - Simu
Utoaji Maoni Dira Ya Taifa - Simu

Mwaka 2025 tutashuudia mageuzi makubwa ya upigwaji wa kura ambapo mpigaji kura atatumia simu yake ya mkononi kupiga simu Hasa ukizingatia wanaomiliki simu wapo zaidi ya milioni 53.1.


Hakika Ndani Ya Siku 3 Matokeo Ya Uraisi Yatakuwa Yameshatangazwa.
 
Siku hizi kila kitu simu..

Masuala ya Benki - Simu

Ulipaji Kodi - Simu
Kufuatilia Uhalifu - Simu
Kufuatilia Mahusiano - Simu
Utoaji Maoni Dira Ya Taifa - Simu

Mwaka 2025 tutashuudia mageuzi makubwa ya upigwaji wa kura ambapo mpigaji kura atatumia simu yake ya mkononi kupiga simu Hasa ukizingatia wanaomiliki simu wapo zaidi ya milioni 53.1.


Hakika Ndani Ya Siku 3 Matokeo Ya Uraisi Yatakuwa Yameshatangazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…