Ushindi wa Trump ni pigo kubwa kwa CCM

Listen Guys, tunapaswa tumkatae huyu bibi kwa nguvu zote 2025 ni vyema kutumia hata turufu ya utanganyika ikiwezekana kumkataa, hafai kabisa narudia tena kuwa hafai hata kuongoza kitongoji.Samia
Samia ametunia mabilioni kumfanyia Kamala kampeni kisirisiri huku nyumbani watu hawana maji.
 
Ccm yalikua yanaamin mashoga ya democrats waliyokua wanayaunga mkono yangeshinda yamepigwa knock out.
 
Sasa kwanini trump anashinda wanawake tu?
2016 hilary mwanamke kashinda, 2020 biden mwanamme kamshindwa, 2024 kamalla mwanamke kashinda

Kwanini anaonea wanawake tu?
 
Kuna kichaa mmoja alianzisha thread ambayo inasema ziara ya mama Yao kule marekani eti imewapa hamasa wa marekani kumchagua kamala.Hawa CCM sijui huwa wanawaza Nini kuandika Hivyo vichekesho vyao!

Wamarekani wahamasishwe na Rais wa Tanzania!! Maajabu makubwa! Ni sawa useme kuwa kobe anamhamasha duma kukimbia kwa mwendo mkali!!
 
Wamarekani wahamasishwe na Rais wa Tanzania!! Maajabu makubwa! Ni sawa useme kuwa kobe anamhamasha duma kukimbia kwa mwendo mkali!!
Ccm wanamatatizo sana ya akili.
 
Sasa CCM inaingiaje kwenye chaguzi za US???
 
Kwanini imejaa chuki hivyo? Utakufa kabla ya ku enjoy dunia
 
Lakini tuwe na sababu za msingi
Hebu tuwekee sababu utushawishi ili tusifanye maamuzi kwa kuongoza na hisia na jinsia

Mi nasema ikitokea mgombea ccm au upinzani akaja .na sera ya major political and economic reforms
Kwa kutuletea katiba mpya nitamsupport

Tuache blah blah tuwekeezani mambo ya msingi kulikomboa taifa
 
Nasi tulikatae hili zimwi alilotengeza na kutuachia Mungu wa Kabundi.
 
Safi sana
 
Ni ujinga wa hali ya juu kuufungamanisha uchaguzi wa US na nchi yoyote nyingine duniani.

Hizo ni akili za kitumwa.
 
Ushindi wa Trump Chadema ndio watanufaika kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa na uchaguzi Mkuu mwakani πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DB_9EhxuBH_/?igsh=MTY4ZnBuaTAzdTE0cQ==
 
Kama Trump ameshinda basi ni message tosha kwa Dunia kwamba bado inawahitaji Mwanaume katika uongozi wa juu kabisa wa mataifa - sisi ni kina nani tupinge, kima mama tunawapemda ila bado sana saana.

Marekani oyeeee, trump oyeeee
 
Kila uchaguzi wa US ukiisha huwa mnasema haya maneno.Mwisho wa siku CCM wanabeba na balozi wa US anapongeza ushindi wa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…