Ushindi wa Trump pigo kwa Sugu, balozi wa Marekani Tanzania kung'olewa. Ni yule aliyeingilia mambo ya ndani ya Tanzania

Waambie watawala wako na chawa zao kuwa upo mwiba mbaya.
 
Sugu aligeuka kipenzi cha hela za mashoga ya USA kupitia balozi wao
Serikali ya Tanzania chini ya shujaa wako ******** na Bashite haikuwa inasupport ushoga ?

Hizo pesa za mashoga ndio zinawajengea barabara , misaada ya ARV , Condom na mnaandika "kwa msaada wa watu wa marekani"

Ona hapa walivyojitoa kwenye harakati za kukamata mashoga.
 
Sasa nini la ajabu hapo? Si utawala mwingine umeingia madarakani, inamaana wale waliokuwa ofisini wanaachia ngazi,wanaachia ngazi kisheria siyo kwa sababu walikuwa wanazungumzia mambo ya ndani ya nchi wanazoziwakilisha. Sasa mleta mada umeleta mjadala wako hapa lakini jinsi ulivyoandika unaweza kudhani ni maneno ya huyo balozi ndiyo yanamuondoa ofisini.
 
Unadhani nchinya Marekani inaendeshwa kama Tanzania ya Ccm viongozi wanakua na chuki na visasi, kwamba rais ndo anateua kila kiongozi kuanzia makamu wa rais mpaka katibi wa wilaya?
 
Yule muuaji aliyepo Arusha atapata unafuu wa visa yake kufunguliwa?
 
Sugu ni mtumishi mwaminifu wa Marekani sio wachama wewe elimika Marekani sio Tanzania ya CCM
Mwambie! anajua milengo?cdm si wahavidhina?Republican na Conservative si ndio marafiki ?ila anajua ije mvua au Jua malengo yao(usa)ni Yale Yale kunyonya rasilimali zetu tu.
 
Balozi wa Marekani ni ofisa wa Serikali si Ofisa wa CCM kama huko kwenu, haondolewi tu kwa vile Chama kingine kimetwaa madaraka
 
Balozi wa Marekani ni ofisa wa Serikali si Ofisa wa CCM kama huko kwenu, haondolewi tu kwa vile Chama kingine kimetwaa madaraka
Kafanye utafiti, balozi wenu huyo mwanachadema atafukuzwa kama mbwa muda si mrefu
 
Sugu ndio nani mpaka awe tishio Tanganyika kiasi cha wana sisiemu kulilia msaada wa Trump?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…