Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie watawala wako na chawa zao kuwa upo mwiba mbaya.Sasa ni rasmi, Balozi wa Marekani nchini Tanzania anaondoka. Hii ni baada ya ushindi wa kinbunga wa Donald Trump. Kwa taratibu, anaposhinda Rais wa chama tofauti, hubadili mabalozi wote dunia nzima na kuteua wa kwake.
Kwa mfano, chama cha balozi huyu kinaunga mkono ushoga, Trump anaupinga, kwa hiyo lazima awe na balozi wake.
Balozi huyo alikuwa kipenzi cha Sugu, na mara kadhaa alilala hotelini kwake, na Sugu alikuwa anaingia Ubalozi wa Marekani kama anavyoingiaga soko la Uyole.
Balozi huyo alifanya Tanzania itoe onyo kali kwake kwa sababu alikuwa na mdomo mdomo wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi.
Serikali ya Tanzania chini ya shujaa wako ******** na Bashite haikuwa inasupport ushoga ?Sugu aligeuka kipenzi cha hela za mashoga ya USA kupitia balozi wao
Kwa kweliWe itakuwa ni mgeni apo mjini, ama chuki zinakutesa sana asee
Shangaa wewe 🙌...🤣🤣 Ameandika maandazHalafu unaweza kukuta na wewe ni kiongozi mkubwa tu🤔
Tuna viongozi wenye vichwa vidogo kama vya kunguni kwa kwel🤔Shangaa wewe 🙌...🤣🤣 Ameandika maandaz
🤣🤣🤣Mi simoTuna viongozi wenye vichwa vidogo kama vya kunguni kwa kwel🤔
😂 umo , ukiwaona na tai na suti sasa😅🤣🤣🤣Mi simo
Yule muuaji aliyepo Arusha atapata unafuu wa visa yake kufunguliwa?Sasa ni rasmi, Balozi wa Marekani nchini Tanzania anaondoka. Hii ni baada ya ushindi wa kinbunga wa Donald Trump. Kwa taratibu, anaposhinda Rais wa chama tofauti, hubadili mabalozi wote dunia nzima na kuteua wa kwake.
Kwa mfano, chama cha balozi huyu kinaunga mkono ushoga, Trump anaupinga, kwa hiyo lazima awe na balozi wake.
Balozi huyo alikuwa kipenzi cha Sugu, na mara kadhaa alilala hotelini kwake, na Sugu alikuwa anaingia Ubalozi wa Marekani kama anavyoingiaga soko la Uyole.
Balozi huyo alifanya Tanzania itoe onyo kali kwake kwa sababu alikuwa na mdomo mdomo wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi.
Mwambie! anajua milengo?cdm si wahavidhina?Republican na Conservative si ndio marafiki ?ila anajua ije mvua au Jua malengo yao(usa)ni Yale Yale kunyonya rasilimali zetu tu.Sugu ni mtumishi mwaminifu wa Marekani sio wachama wewe elimika Marekani sio Tanzania ya CCM
Balozi wa Marekani ni ofisa wa Serikali si Ofisa wa CCM kama huko kwenu, haondolewi tu kwa vile Chama kingine kimetwaa madarakaSasa ni rasmi, Balozi wa Marekani nchini Tanzania anaondoka. Hii ni baada ya ushindi wa kinbunga wa Donald Trump. Kwa taratibu, anaposhinda Rais wa chama tofauti, hubadili mabalozi wote dunia nzima na kuteua wa kwake.
Kwa mfano, chama cha balozi huyu kinaunga mkono ushoga, Trump anaupinga, kwa hiyo lazima awe na balozi wake.
Balozi huyo alikuwa kipenzi cha Sugu, na mara kadhaa alilala hotelini kwake, na Sugu alikuwa anaingia Ubalozi wa Marekani kama anavyoingiaga soko la Uyole.
Balozi huyo alifanya Tanzania itoe onyo kali kwake kwa sababu alikuwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi.
mkuu Hawa ni wadeki vyoo pale Lumumba hawaelewiBalozi wa Marekani ni ofisa wa Serikali si Ofisa wa CCM kama huko kwenu, haondolewi tu kwa vile Chama kingine kimetwaa madaraka
Unajua JF iko kama kokoro, imezoa kila uchafu, yaani kumbe huwa tunabishana na watu duni mno!mkuu Hawa ni wadeki vyoo pale Lumumba hawaelewi
Sugu ndio nani mpaka awe tishio Tanganyika kiasi cha wana sisiemu kulilia msaada wa Trump?Sasa ni rasmi, Balozi wa Marekani nchini Tanzania anaondoka. Hii ni baada ya ushindi wa kinbunga wa Donald Trump. Kwa taratibu, anaposhinda Rais wa chama tofauti, hubadili mabalozi wote dunia nzima na kuteua wa kwake.