Ushindi wa Trump pigo kwa Sugu, balozi wa Marekani Tanzania kung'olewa. Ni yule aliyeingilia mambo ya ndani ya Tanzania

9nyo kali kwake!!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Eti kodi zetu zinawalipa viongozi mong'o namna hii!
Hatujawahi kuwa na viongozi makini hata siku moja.
 
Hakuna mwana CCM mwenye akili kubwa hivyo ndugu. Hiyo mizigo ni mizito sana kwa huyu ndugu yangu.
 
Sugu itabidi ahamie huko marekani akaendeleze Hip hop maana P Didy yupo nyavuni.
 
ona sugu kalivyopose utadhani ni mwaname sio riziki. Bora wameshindwa hawa mademocrats kazi kukuza ushoga duniani.
 
Na sugu alikua anakutana na balozi huyo na kupiga picha amevaa kama
Acha uongo wewe. Serikali awamu ya 5 haikua inasupport ushoga. Chadema na hassa makamu wake lissu ndio watetezi wa ushoga ili kupata fedha za wamarekani.
 
Na sugu alikua anakutana na balozi huyo na kupiga picha amevaa kama
Saa hizi mmehamia kwenye mavazi.

Mjadala huu kuna mahali ulitaja kukutana katika vazi/mavazi fulani??
Acha uongo wewe. Serikali awamu ya 5 haikua inasupport ushoga.
Makonda alianzisha kampeni ya kukamata mashoga , kwenye hiyo barua serikali ikajibu haihusiki katika hiyo kampeni na hivyo ni msimamo binafsi , kusoma kwa ufahamu hujui au?
Chadema na hassa makamu wake lissu ndio watetezi wa ushoga ili kupata fedha za wamarekani.
Kuna mahali ametajwa Lissu hapo?

Ile miradi inayoandikwa imejengwa kwa msaada wa watu wa marekani huwa anaomba Lissu msaada?
 

Umekurupuka wenzetu hawana sera za uchawa
 
Kwa nini aondoke
 
Ushindi wa trump ni ushindi wa wazee wachama kum instill Trump mwingine huku kwetu na sio Kamala Haris WA Sasa hapo 2025!

Uteuzi wa mgombea wa nchi yetu lazima uendane na matakwa ya mashirika ya kijasusi ya kimataifa ambayo us ana nguvu ndani yake!

Ni rasmi Kamala Harris wa huku kwetu anajua fika kwamba Hana nafasi mwakani!
 
Huyu Trump si ndio alituitaga sisi eti ni Siti hole ??!
Akaendelea kusema Eti kazi yetu sisi ni kulalamika lalamika tu ila kuchukua maamuzi eti ni Zero kabisa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜ณ๐Ÿ™„

Jamaa ana matusi ya kirejareja sana huyu Mzee !
Ngoja Tusubiri tuone this time atatufananishaje ๐Ÿ™„!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ