Ushindi wa Trump pigo kwa Sugu, balozi wa Marekani Tanzania kung'olewa. Ni yule aliyeingilia mambo ya ndani ya Tanzania

Sasa ni rasmi, Balozi wa Marekani nchini Tanzania anaondoka. Hii ni baada ya ushindi wa kinbunga wa Donald Trump. Kwa taratibu, anaposhinda Rais wa chama tofauti, hubadili mabalozi wote dunia nzima na kuteua wa kwake.

Kwa mfano, chama cha balozi huyu kinaunga mkono ushoga, Trump anaupinga, kwa hiyo lazima awe na balozi wake.

Balozi huyo alikuwa kipenzi cha Sugu, na mara kadhaa alilala hotelini kwake, na Sugu alikuwa anaingia Ubalozi wa Marekani kama anavyoingiaga soko la Uyole.

Balozi huyo alifanya Tanzania itoe onyo kali kwake kwa sababu alikuwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi.
9nyo kali kwake!!! 😂😂😂🤣😂😂
 
Serikali ya Tanzania chini ya shujaa wako ******** na Bashite haikuwa inasupport ushoga ?

Hizo pesa za mashoga ndio zinawajengea barabara , misaada ya ARV , Condom na mnaandika "kwa msaada wa watu wa marekani"

Ona hapa walivyojitoa kwenye harakati za kukamata mashoga.View attachment 3145134
Eti kodi zetu zinawalipa viongozi mong'o namna hii!
Hatujawahi kuwa na viongozi makini hata siku moja.
 
Katika ushindi wa Trump jambo la maana kwako ni urafiki wa Sugu na balozi? Badala udiskas misaada mnayopewa na mikopo kama itapungua ama la. Maana hata condom utasikia kwa hisani ya wamarekani. Na kama balozi wa marekani anaingilia masuala ya ndani ya nchi yako mbona mmeufyata kumfukuza? mnabaki kugugumia moyoni utadhini kitu cha Sean Combs kimewanasia. We na Lucas mwashambwa ni pacha.
Hakuna mwana CCM mwenye akili kubwa hivyo ndugu. Hiyo mizigo ni mizito sana kwa huyu ndugu yangu.
 
Sugu itabidi ahamie huko marekani akaendeleze Hip hop maana P Didy yupo nyavuni.
 
Wanalumumba buku 7 akili zenu huwa zinanishangaza maana huwa ni wasahaulifu sana.

Kinana kukutana na balozi ni kujadili na kuimarisha ushirikiano wa Tanzania na Marekani.

Sugu kukutana na balozi ni kuingilia uhuru wa nchi na kuchochea mapinduzi.

Mkijengewa vyoo,barabara , kupewa ARV na condom za msaada mnawashukuru na kuwaita wahisani .

Wakiwasema mdumishe demokrasia muache kuteka wakosoaji wa serikali mnawaita wabaguzi na mabeberu.

Tuwaeleweje sasa?
View attachment 3145129
View attachment 3145124View attachment 3145126
ona sugu kalivyopose utadhani ni mwaname sio riziki. Bora wameshindwa hawa mademocrats kazi kukuza ushoga duniani.
 
Sasa ni rasmi, Balozi wa Marekani nchini Tanzania anaondoka. Hii ni baada ya ushindi wa kinbunga wa Donald Trump. Kwa taratibu, anaposhinda Rais wa chama tofauti, hubadili mabalozi wote dunia nzima na kuteua wa kwake.

Kwa mfano, chama cha balozi huyu kinaunga mkono ushoga, Trump anaupinga, kwa hiyo lazima awe na balozi wake.

Balozi huyo alikuwa kipenzi cha Sugu, na mara kadhaa alilala hotelini kwake, na Sugu alikuwa anaingia Ubalozi wa Marekani kama anavyoingiaga soko la Uyole.

Balozi huyo alifanya Tanzania itoe onyo kali kwake kwa sababu alikuwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi.
Na sugu alikua anakutana na balozi huyo na kupiga picha amevaa kama
Serikali ya Tanzania chini ya shujaa wako ******** na Bashite haikuwa inasupport ushoga ?

Hizo pesa za mashoga ndio zinawajengea barabara , misaada ya ARV , Condom na mnaandika "kwa msaada wa watu wa marekani"

Ona hapa walivyojitoa kwenye harakati za kukamata mashoga.View attachment 3145134
Acha uongo wewe. Serikali awamu ya 5 haikua inasupport ushoga. Chadema na hassa makamu wake lissu ndio watetezi wa ushoga ili kupata fedha za wamarekani.
 
Na sugu alikua anakutana na balozi huyo na kupiga picha amevaa kama
Saa hizi mmehamia kwenye mavazi.

Mjadala huu kuna mahali ulitaja kukutana katika vazi/mavazi fulani??
Acha uongo wewe. Serikali awamu ya 5 haikua inasupport ushoga.
Makonda alianzisha kampeni ya kukamata mashoga , kwenye hiyo barua serikali ikajibu haihusiki katika hiyo kampeni na hivyo ni msimamo binafsi , kusoma kwa ufahamu hujui au?
Chadema na hassa makamu wake lissu ndio watetezi wa ushoga ili kupata fedha za wamarekani.
Kuna mahali ametajwa Lissu hapo?

Ile miradi inayoandikwa imejengwa kwa msaada wa watu wa marekani huwa anaomba Lissu msaada?
 
Sasa ni rasmi, Balozi wa Marekani nchini Tanzania anaondoka. Hii ni baada ya ushindi wa kinbunga wa Donald Trump. Kwa taratibu, anaposhinda Rais wa chama tofauti, hubadili mabalozi wote dunia nzima na kuteua wa kwake.

Kwa mfano, chama cha balozi huyu kinaunga mkono ushoga, Trump anaupinga, kwa hiyo lazima awe na balozi wake.

Balozi huyo alikuwa kipenzi cha Sugu, na mara kadhaa alilala hotelini kwake, na Sugu alikuwa anaingia Ubalozi wa Marekani kama anavyoingiaga soko la Uyole.

Balozi huyo alifanya Tanzania itoe onyo kali kwake kwa sababu alikuwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi.

Umekurupuka wenzetu hawana sera za uchawa
 
Kwa nini aondoke
 
Ushindi wa trump ni ushindi wa wazee wachama kum instill Trump mwingine huku kwetu na sio Kamala Haris WA Sasa hapo 2025!

Uteuzi wa mgombea wa nchi yetu lazima uendane na matakwa ya mashirika ya kijasusi ya kimataifa ambayo us ana nguvu ndani yake!

Ni rasmi Kamala Harris wa huku kwetu anajua fika kwamba Hana nafasi mwakani!
 
Huyu Trump si ndio alituitaga sisi eti ni Siti hole ??!
Akaendelea kusema Eti kazi yetu sisi ni kulalamika lalamika tu ila kuchukua maamuzi eti ni Zero kabisa 😅😳🙄

Jamaa ana matusi ya kirejareja sana huyu Mzee !
Ngoja Tusubiri tuone this time atatufananishaje 🙄!
 
Back
Top Bottom